Kama kawa, nitamwombea adui njaa hiyo baadae!!Kazi nzuri sana imefanywa..
Sasa ni maombi ya anguko la mtaa wa pili
Mech ilikuwa poa eeh!!?Kazi nzuri sana imefanywa..
Sasa ni maombi ya anguko la mtaa wa pili
Tushamaliza hiyo, wewe endelea kuwa supporter mi nitaendelea kuwa fanboy.You don't talk football bro, just blabbing. And sorry, I don't take your cheap argument personal because there is lack of understanding among Real Madrid supporters and fanboys, so it's okay for me. But my opinions are my own, sorry if they're offending you!
Ilikuwa poa mechi Mkuu..Mech ilikuwa poa eeh!!?
huu msimamo safi sana.Heshima inarudi HALA MADRIDLeaders![]()
![]()
![]()
![]()
Nenda mkajikusanye mdanganyane hayo maneno.HALA madrid mwaka huu tunakimbiza mwenge mwanzo mwisho.Next game ni atleticomadrid tuone jinc wanavyowakarisha