Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #22,761
Hawa majamaa wana matatizo sio hiv hiv!! Na Leo pia tunapiga tena hapo kwao!!Legia Ultras at it again!
![]()
Duu, hiyo ya Benzema na Morata sehemu moja inakuwaje!! au Zizou anafanya majaribio?
Hii formation inatufaa sana akiwepo Casemiro, sasa kwa jinsi hao wajamaa wanavyopenda kucheza kifather watarudi kweli kukaba? Ngoja tuone!!4-2-4 tonight. Attack Attack Attack!
Hahaha, Mkuu nimejikuta nimepigwa na butwaa ghafla, anyway team yenyew sio tishio kihivyo!! kwanza leo ni zamu ya Kovacic kufunga!!
Hata mimi naona a bit awkward. 4 attackers at the same time. If it works itakuwa goli 12.