Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,778
- 6,557
Hii ni mara ya pili ninaona tunafungwa goli Kovacic akiwa anaangalia!! inakuaje wanamwacha jamaa achague angle ya kupiga? Casemiro apone tu haraka kwa kweli!!Legia pulled one back with a powerful shot from outside the box, 1-2