Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ilipokuwa 2-0 nikataka nikalale nikasema ngoja niangalie first half tu, heee Legia waliporudisha na hamu ya kurudi kulala ikaisha tumecheza hovyo sana
 
Game ya leo

Kroos alikuwa haeleweki , anahitaji kupumzika

Beki mbovu, lakini na Navas naye sasa ndio kajikuta hata heroic moments anazikosa.

Tuna mmis Casemiro kwa sana

Hakukuwa na haja ya kuwachezesha Morata na Benz wote, ingekuwa vyema kama Isco angepewa chance acheze

Any way ndio mpira huo Zidane ajifunze maana game zinazo kuja tutakuwa exposed sana tukizembea
 
Lakini akirudi Casemiro, Pepe akiwemo na Modric pia Marcelo akiwa kwenye fomu Sioni timu ya kutusumbua zaid ya Atl Madrid kiukweli. Hivyo usishangae tukatetea.
Hata leo ule mfumo alivo chezesha sja muelewa
Japo pengo la Casemiro ni kubwa sana pia
 
Yaani vitu vingine ni vyakujitakia tu, leo wala siwezi kuwalaumu beki zetu, ila huu mzigo ninautupa kwa Zidane, huwezi kutwekea 4-2-4 huku hao foward wako wakawa hawakabi, ni Morata tu alikuwa anarudi, ndio maana tulikuwa tukishambuliwa unaona kabisa gap pale kati kati, sasa kwa mpango huo beki atakaba nani aache nani?
Zizou aliwadharau hawa watu, matokeo yake ndio haya!! kwenye bench tuna viungo kibao yeye akaamua kufanya aliyofanya!!
 
Game ya leo

Kroos alikuwa haeleweki , anahitaji kupumzika

Beki mbovu, lakini na Navas naye sasa ndio kajikuta hata heroic moments anazikosa.

Tuna mmis Casemiro kwa sana

Hakukuwa na haja ya kuwachezesha Morata na Benz wote, ingekuwa vyema kama Isco angepewa chance acheze

Any way ndio mpira huo Zidane ajifunze maana game zinazo kuja tutakuwa exposed sana tukizembea
Navas goli la pili ni uzembe uliotukuka
Hapo pa morata na benz i support
afu mbona sion Rodriguez akicheza mara kwa mara ni majeruhi?
 
Game ya leo

Kroos alikuwa haeleweki , anahitaji kupumzika

Beki mbovu, lakini na Navas naye sasa ndio kajikuta hata heroic moments anazikosa.

Tuna mmis Casemiro kwa sana

Hakukuwa na haja ya kuwachezesha Morata na Benz wote, ingekuwa vyema kama Isco angepewa chance acheze

Any way ndio mpira huo Zidane ajifunze maana game zinazo kuja tutakuwa exposed sana tukizembea

Tatizo kubwa la Madrid lilikuwa kiungo jamaa wakija wanapita kama wanavyotaka pia Zizou alichemsha kuwapanga Benzema na Morata mmoja angeanza bench ku-balance timu
 
Yaani kajaza forward then nothing more expected!! Bora 4-4-2 ingestabilize na jamaa wangepata goli moja tu.
Kwa 4-4-2 tungewapiga tena mkono, ila kituko Zizou alichokuja nacho Leo ndio shida kabisa, watu walitaka Morata aanze badala ya Benzema sio wote waanze, au ndio anataka ujumbe kuwa Benz hawezi kukaa bench?
 
Tatizo kubwa la Madrid lilikuwa kiungo jamaa wakija wanapita kama wanavyotaka pia Zizou alichemsha kuwapanga Benzema na Morata mmoja angeanza bench ku-balance timu
Na kweli hivi utachezaje
4-2-4 halafu huweki mtaalamu wa ku hold, hata ukicheza na makumba fc u r bound to loose
Ilikuwa ni technical mistake ile
 
Kwa 4-4-2 tungewapiga tena mkono, ila kituko Zizou alichokuja nacho Leo ndio shida kabisa, watu walitaka Morata aanze badala ya Benzema sio wote waanze, au ndio anataka ujumbe kuwa Benz hawezi kukaa bench?
Benzema yupo bize huko Instagram kuonesha Mansion na Luxury Motors maana hana cha kupoteza ukizingatia umri alionao huku UEFA mbili kibindoni.
 
Kwa 4-4-2 tungewapiga tena mkono, ila kituko Zizou alichokuja nacho Leo ndio shida kabisa, watu walitaka Morata aanze badala ya Benzema sio wote waanze, au ndio anataka ujumbe kuwa Benz hawezi kukaa bench?
Jamaa amecheza aina ya mchezo ambao aliwafanya kina kroos na kov wachoke sana bila sababu, halafu washambuliaji wa nne michezo ya miaka ya 60 hiyo kwa kuwa ni rahisi kupigwa counter
Nadhani kelele za kumchezesha Morata zilimfanya leo awapange wote ila that was pathetic.
 
Man! acha kabisa, jana Zizou alinichosha kabisa aisee, Kroos alichoka completely, mpaka hata pass anapoteza, ule mfumo wa jana uliwaumiza zaid Kroos na Kovacic sababu walikua na kazi ya kuzuia na pia kupandisha mashambulizi huku hao akina BBC wakishangaa sharubu tu kule mbele wakisuburi mipira!! Sijui Zizou alifikiria nini kwa kweli!!
Sasa hiki kituko Zizou alichofanya jana ataibua mjadala sasa, na anaendelea kuwapa maadui zake wanaodai kuwa jamaa bado hajakfikia ubora wa kuitwa coach!!
 
Mateo Kovačić completed 85 of his 88 passes against Legia yesterday, more than in any other of his games for Real Madrid (all comps) [@OptaJose]

96% passing accuracy.

14915735_1361245883900168_6932147783759700821_n.jpg
 
Back
Top Bottom