Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
HaaaHatujawahi kushinda away game kwenye [HASHTAG]#ChampionLeague[/HASHTAG] ya msimu huu.
Halafu wametupiga comeback vijana hawa!
Ila defense is very shaky kwa kweli
HaaaHatujawahi kushinda away game kwenye [HASHTAG]#ChampionLeague[/HASHTAG] ya msimu huu.
Halafu naona kama kila ntu anacheza anavyo jua.Ila timu yetu inazingua sana yaani hata Legia wanatutoa jasho?
HahahaNow ahueni.droo yatosha kwa hali mbaya tuliyonayo.
Lazima uruke uruke ..sababu tulikamatwa pabaya sana.Hahaha
Ila realy mpira tuliocheza leo ni kituko
Japo bao la 3 nimeruka ruka kama tumeshinda vile
Lazima uruke uruke ..sababu tulikamatwa pabaya sana.
HahahaIla matokeo yetu hayaridhishi kabisa. Ningekuwa Perez ningeweka vipengele vya kukata posho na mishahara timu inapopoteza au droo dhidi ya timu za aina ya Legia.
Yaani kwa udhaifu wa beki zetu hata Ndanda Fc inaweza kutuo droo ya 3-3Beki zetu azikai nyuma, jamaa wakija na mpira utaona wachezaji wetu wametawanyika wanakimbiza upepo, game kama hii na Atletico tunatafutana ubaya.
AaahIla matokeo yetu hayaridhishi kabisa. Ningekuwa Perez ningeweka vipengele vya kukata posho na mishahara timu inapopoteza au droo dhidi ya timu za aina ya Legia.
Lakini akirudi Casemiro, Pepe akiwemo na Modric pia Marcelo akiwa kwenye fomu Sioni timu ya kutusumbua zaid ya Atl Madrid kiukweli. Hivyo usishangae tukatetea.Hahaha
Nikiangalia sana kwenye UCL sio mwaka wetu hasa ukizingatia historia ina tuhukumu
Ila kila siku ninekuwa nikilia na defense yetu toka hata ramos hajaumia, hatuja kaa sawa bado
Yaani kwa udhaifu wa beki zetu hata Ndanda Fc inaweza kutuo droo ya 3-3
