Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,376
Walisahau kwamba alitokea hapo kwenda Arsenal? au wanajisahaulisha tu, kwanza atapiga mlango upi baada ya yale majibizano na camp yake dhidi ya Perez? Tuna vijana wengi sana upande wa midfield na foward wanaochipukia hatujui hata watacheza wapi, ghafla tukamkurupue mtu tuliyemwacha wenyew kisa nin?Germany media are talking bulshit. How old is Özil? Wanafikiri Bernabéu ni retirement center. Kwanza akija atacheza wapi?