Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

I'm so disappointed kwa kweli kudrop points 4 katika game mbili mfululizo yaan ball coverage imekuwa poor sana aisee kwa style hii tutaweza kupigwa tukikutana na timu zinazotumia makosa yetu,kuna makosa ya kijinga yalofanyika kwa beki zetu yakagharimu timu pia hii ni game ambayo tumetengeneza nafasi nyingi sana za kufunga lkn hazikutumika vizur,na hiz timu zimeijulia Madrid cku hz znapanga formation ya 4-2-3-1 kama ya Villarreal yaan wanatubana sana katikati kutunyima nafasi za kuchezea mipira viungo wetu,once again poor display na ckuona sababu ya kutompanga Navas Leo cio kwa magoli Yale kufungwa kiasi kile, mabadiliko yanahitajika kwa kweli ili tuwe na uhakika wa ushindi yaan hata uchu wa kufunga haukuonekana tukawa tumeridhika na tofauti ya goli moja,aisseee wamezingua sana Leo.
 
Ni vizur Zizou akajifunza bado mapema kabisa, hatutaki mambo ya kukisia, mbona wakati anafika alipanga team yake vizur tu, pale kati tulizidiwa ila Kroos na Modric walicheza vizur sana, tatizo tunakosa umakini tukifika final 3rd ya adui, ubinafsi mwingi na kukosa umakini!! wajamaa wanajipigia tu!! sasa hii presha ya kuongoza league kwa point moja tutaiweza?
Mkuu Cesar Caspar

Zizou awe makini
 
Pia kwa nini James ameachwa bench mwanzo mwisho? Zizou ajitathimini upya kikosi chake maana hapa mwanzo ni muhimu kubeba point tatu kwa kila mechi.
 
Next Up BVB!

14368703_1324127140945376_5866189928219240558_n.png
 
Jumanne na Borrusia Dortmund nyumbani kwao. Na msimu huu wanatisha kama njaa.
Ni game ngum sana hiyo kwa kweli, hatujawafunga kwao kwa siku za hiv karibuni, sasa sijui week ijayo itakuwaje!! Hope Zizou hatotuwekea tena lile pazia pale golini!! na ikiwezekana tuende hata na 4-4-2, bila kuwashika kiungo wale watatusumbua sana, hawana tofauti sana na hiz team tulizotoa nazo draw
 
Zidane akiendelea hivi mwisho wake mbaya. Watu wenye vipara wana matatizo sana.
 
Yaan Hizi game 3 zote tunacheza na timu zinazovaa jezi rangi ya njano cjui tuna gundu na hii rangi maana Villarreal tumeambulia draw,las palmas tena draw sasa BvB tutaambulia nn?,naona mambo yamekuwa magumu sana kwa Hizi game 3 za rangi ya njano
 
Yaan Hizi game 3 zote tunacheza na timu zinazovaa jezi rangi ya njano cjui tuna gundu na hii lang maana Villarreal tumeambulia draw,las palmas tena draw sasa BvB tutaambulia nn,naona mambo yamekuwa magumu sana kwa Hizi game 3 za rangi ya njano


BVB wame-spend much money this season, usiwatanie. Game ya Villarreal, ya leo na pamoja ya BVB zote hizi nilisema before ni tough. Uwezekano wa kuchukua points ulikuwepo lakini wachezaji wetu wamekosa umakini.
 
Ckuona ulazima wa kumuweka benchi James anauchu na anajituma sana akipata nafasi uwanjani
Haukuwa uamuzi mbaya, kama alitaka kumpa Isco muda kidogo sababu ninadhan j4 anaweza kucheza pia. Tatizo kwenye hii game ya Leo ilikuwa ni umakini tu na kujituma kwa wachezaji!!
 
Back
Top Bottom