James akicheza kama no 10 hua anafanya vizur sana, sababu katika nafasi hiyo anaweza akashoot au akatoa assist, Zidane aliona matunda yake alipomchezesha nafasi hiyo dhidi ya Espanyol!! Pia uwepo wa Morata uwanjan utamsaidia zaidi, sababu Morata hua anapenda kurudi kuchukua mipira kweny midfield!! Ingependeza sana kama formation itakuwa hivyo hiyo baadae!![HASHTAG]#ExpectedLineUp[/HASHTAG]: With Casemiro and Marcelo out, this is how Real Madrid could possibly line up tonight against Las Palmas.
![]()
Kweli kabisa tuombee iwe hvyo maana majirani zetu kule wameshinda leoJames akicheza kama no 10 hua anafanya vizur sana, sababu katika nafasi hiyo anaweza akashoot au akatoa assist, Zidane aliona matunda yake alipomchezesha nafasi hiyo dhidi ya Espanyol!! Pia uwepo wa Morata uwanjan utamsaidia zaidi, sababu Morata hua anapenda kurudi kuchukua mipira kweny midfield!! Ingependeza sana kama formation itakuwa hivyo hiyo baadae!!
Tuna kikosi kikubwa man, kama unazingua unatulia bench.
wanagonga vzur tatzo umaliziaj wao mbovungoja nidake siti ya nyuma niroge chinichini. Palmas ni wapambanaji najua hawataniangusha.