Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #21,741
Haukuwa uamuzi mbaya, kama alitaka kumpa Isco muda kidogo sababu ninadhan j4 anaweza kucheza pia. Tatizo kwenye hii game ya Leo ilikuwa ni umakini tu na kujituma kwa wachezaji!!
Sema jumanne akicheza hawa wakuitwa BBC atatuboa.