Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,681
40' GOAL by Marco Asensio!!! | Real Sociedad 0-2 Real Madrid #RMLiga #HalaMadrid
Kweli dogo amekua, ametulia sana alivyopata ule mpira.40' GOAL by Marco Asensio!!! | Real Sociedad 0-2 Real Madrid #RMLiga #HalaMadrid
Morata huwa ana tabia yakukimbia huku anaangalia chini...anatakiwa ainue machoMorata anataka kufungagoli mwenyewe, the passes would be suitable too
Kweli dogo amekua, ametulia sana alivyopata ule mpira.
Morata huwa ana tabia yakukimbia huku anaangalia chini...anatakiwa ainue macho
Morata amepanic, anataka na yeye afunge ili amshawishi Zidane kuwa na yeye anaweza!! akitulia atafunga tu, Dogo amepata chance moja akaweka mpira kambani!!Ndio maana Morata anacheza vile. He really wants to scores too. Mi naona bora angetulia acheze kitimu magoli yanakujaga tu.
Upo sahihi sana.. nlikuwa nawaza hapa..nkasema huyu morata anatakiwa ajue jinsi yakuonyesha umuhimu wake nyakat ambazo kina benzema hawapo....Anatakiwa apewe somo kabla hajapoteza namba baadae iwe drama, maana kuna kama €200M zimekaa kwenye bench na watu wengine wako nyumbani wanauguza majeraha.
Morata amepanic, anataka na yeye afunge ili amshawishi Zidane kuwa na yeye anaweza!! akitulia atafunga tu, Dogo amepata chance moja akaweka mpira kambani!!
Upo sahihi sana.. nlikuwa nawaza hapa..nkasema huyu morata anatakiwa ajue jinsi yakuonyesha umuhimu wake nyakat ambazo kina benzema hawapo....