Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Kuna ka uzito fulani hiv pale nyuma ka kuhamisha mipira tunaposhambuliwa, sijui shida ni nin !! Hawa hawatakiwi kutuzoea!!Sasa tunaanza kuangalia game huku tumesimama kwenye korido yakwenda choo....beki zinataka kufanya nn sasa pale?
Casemiro na yeye hawezaji kumaliza mpira bila Card!!

