Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,661
Real Madrid will be wearing the 3rd kits tonight!!
Mambo yanaendelea kumwendea poa tu kijana wetu, ni vizur ili kumwongezea morale.Asensio and Kova starts ahead of James and Isco both.
Nimechelewa game kwa dakika kumi....naona timu imeshatangulia tayar
Umeona eee!hata me naona zinakatika sana hapa....Hapa beki zinatakiwa zitulie tu.
Umeona eee!hata me naona zinakatika sana hapa....
Huyu asensio mzuri sana amechangamka....naona sijui morata anataka nini....maana naona kapooza hata akipata mpira unaona kabisa mpira unapoa...marcelo mzito leo kurudi kukaba...anakaba kwa macho...varane na ramos nafikir anatakiwa waongee...wanategeanaHalafu jamaa wanacheza foul game yote hii.
Huyu asensio mzuri sana amechangamka....naona sijui morata anataka nini....maana naona kapooza hata akipata mpira unaona kabisa mpira unapoa...marcelo mzito leo kurudi kukaba...anakaba kwa macho...varane na ramos nafikir anatakiwa waongee...wanategeana