Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,641
MARCA: "The Challenge Begins"
Nilibahatika kuangalia game ya Castilla hiyo jana, kiukweli Diaz yupo vizur, ana uwezo wa kukaa na mpira, pia ana nguvu, Ninadhan msimu ujao anaweza tolewa kwa mkopo anakapate experience kucheza kweny ligi, sitoshangaa kumwona first team misimu miwili ijayo!!2 goals and an assist on his debut. Sergio Díaz gets man of the match in the first game for Castilla!
![]()
Nilibahatika kuangalia game ya Castilla hiyo jana, kiukweli Diaz yupo vizur, ana uwezo wa kukaa na mpira, pia ana nguvu, Ninadhan msimu ujao anaweza tolewa kwa mkopo anakapate experience kucheza kweny ligi, sitoshangaa kumwona first team misimu miwili ijayo!!
Ni kweli Mkuu, dogo anao uwezo mkubwa sana, vipi yule mwenzie Federiko Valverde (sijui jina ni sawa!!) ishu yake iDogo ana kila kitu, anachotakiwa sasa awe na nidhamu tu, lazima atakuwa goalman wa kutisha.
Ni kweli Mkuu, dogo anao uwezo mkubwa sana, vipi yule mwenzie Federiko Valverde (sijui jina ni sawa!!) ishu yake i
imeishia wapi!!