Full time AT Madrid 1-2 Real Madrid
Hala Madrid
unastahili pole KUBWA.!!!
Mdau who is baba kichanga n who score the first goal? I wish ndio ingekuwa fainali ya kombe la mfalme tujipoze na kakombe.
unastahili pole KUBWA.!!!
Gang Chomba anasema hata udunde vp hauwez kudunda bahariniDah tusijiamini sana mkuu mpira unadunda. Kweli Madrid ndio gumzo la dunia yaani yule dogo kutufunga kwa magoli ya kuotea na penati nyepesi ameshakuwa maarufu duniani, angewafunga AC milan ingeonekana kawaida tu.
Gang Chomba anasema hata udunde vp hauwez kudunda baharini
Ngoja aje hapo aone nimeiundermine Milan aanze kubinuka sarakasi zake huku kavaa taulo
J4 ikiwezekana watu wawili wa BD wafanyiwe man making, Reus na Goetze, ila Pepe aanzie bench na Di Maria aanze hiyo match
Kwa kweli mi sikuona sababu ya Di Maria kuanzia bench maana usumbufu wake unasababisha mabeki wasipate muda wa kupanda, pia bora Pepe angemuweka pembeni kati amalize Verane na Ramos.
Kwa kweli mi sikuona sababu ya Di Maria kuanzia bench maana usumbufu wake unasababisha mabeki wasipate muda wa kupanda, pia bora Pepe angemuweka pembeni kati amalize Verane na Ramos.[/QbUOTE]
But i'm not sure kama essien ni mzima!
Alichelewa kireport mkewe ndio alikua anajifungua ndio maana alianzia bench, J4 bora hata Essien aanzie beki wa kulia, kacheza vizuri sana leo
View attachment 72934 watakuja wengi na kung'ara kwa muda na kisha watapotea,lakini malaika weupe tutatawala milele,real madrid forever!