Real madrid fc 'the galacticos!'

Real madrid fc 'the galacticos!'

Full time Galatasaray 3-2 Real madrid [3-5]aggregate.halla madrid.
 
dah,madrid wameponea chupitupu kutolewa
vipi mzee mac tilly chizenga mnaniboa sana jana nimekuleteeni live update kati ya man u kwanini wee chizenga hutaki kujitole kutupa update leo nimekaa kimya nione alau kuna yeyote humu atatutangazia mechi ya rm na gala mumeka kimya sas subiri kesho naingia mwenyewe kati ya barca na psg
 
mkuu chebi,sorry sana ila live coverage yako nimeipenda mpaka nataka nidhamini matangazo yako ya leo barca vs psg,unatumia bando gani?mc chizenga nataka kudhamini nitakulipa tshs 5,000.000 nb angalia figure hiyo kwa umakini
 
mkuu ahsante sana ila mimi tatizo sipo tz nipo europ natumia freebox kama utaweza kunisaidia labda nikupe acount yangu ya barclays uwe unanitilia hela hapo ya kulipia freebox yangu ili niweze kukutangaazia hayo matangaazo yako tuta kua pamoja katika nusu fainal usiwe na hofu hahahahahaaaaaaaaaa!!!! chizenga bwana;
 
Heshima ya Spain kurudishwa leo, hatutaki ujinga sie!
 
Mdau mwenzangu tusiongee sana wale wakoloni hawafai wanaweza kukinukisha tukapoteana, sina amani kabisa mkuu.
Hakuna cha doti ya kanga wala doti ya mundi, lazima tuwazabe 3-1 at their home ground!
 
25Diego Lopez
11Ricardo Carvalho
3Pepe
27 Nacho
Albiol
8Kaká
6Sami Khedira
15Michael Essien
9Karim Benzema
29Morata
22Ángel Di María

Substitutes
1

Iker Casillas
Goalkeeper

14

Xabi Alonso
Midfielder

20

Gonzalo Higuaín
Forward

19

Luka Modric
Midfielder

10

Mesut Özil
Midfielder

21

José Maria Callejón
Midfielder

2

Raphael Varane
Defender
 
Baba kichanga's free kick deflected off Juanfran, goal
ATM 1-1 RM dk 14
 
Pepe kuanza leo inawezekana J4 akawa bench, kheri akae bench kichwa maji huyu.
Hii match cjui kama itaisha bila red card, 4 yellow cards ndani ya dk 19
 
Back
Top Bottom