Real madrid fc 'the galacticos!'

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
844
500
uploadfromtaptalk1354194653876.jpg watakuja wengi na kung'ara kwa muda na kisha watapotea,lakini malaika weupe tutatawala milele,real madrid forever!
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
14,209
2,000
real Madrid wana jumla ya makombe 15 ya kimataifa.
Wakati AC Milan wana makombe 18 ya kimataifa.
ndio maana basi Milan inaitwa Most successfull football club in the world...

Shtuka
 
ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
844
500
real Madrid wana jumla ya makombe 15 ya kimataifa.
Wakati AC Milan wana makombe 18 ya kimataifa.
ndio maana basi Milan inaitwa Most successfull football club in the world...

Shtuka
Poa nimestuka mkuu Gang, nyie ni wakubwa wenzetu, tumechukua UCL mara 9 na nyinyi mmelitwaa mara 8!
 
ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
844
500
Fighting to the end and achieving the impossible is in our club's DNA:(ALVARO ARBELOA) .
 
ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
844
500
Gareth Bale ananyatia kutua Bernabeu january, welcome to the all stars football club!
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,710
2,000
View attachment 72934 watakuja wengi na kung'ara kwa muda na kisha watapotea,lakini malaika weupe tutatawala milele,real madrid forever!

Tutatawala?
Wewe na nani? Nyoooooo!
Badala mkasaidiane kuinua timu yenu ya Nazareti, mumekalia vya wenzenu.
Nashukuru hao Madrid hawahitaji washabiki oya oya kama nyie, wanao wa kwao wanaowachangia viingilio na mauzo ya jezi.
#Mtumwa
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,530
0

wewe unajiitaga mwandishi wa habari..katika taaluma yako si umejifunza kitu kinaitwa freedom of speech na freedom of press sio..kwa hiyo ujue pia kila mtu ana haki ya kushabikia timu yoyote anayoipenda...nakuonaga una uchungu na hasira sana ukiona watanzania wanashabikia timu za europe...huwezi lazimisha mtu kushabikia timu za tanzania. uswahili kama huo ndio unarudisha hata maendeleo yenu. its a free world everyone is entitled to their freedom of choice...get on with it
 
Kwa mipasho ulonipa,nashindwa kujua wewe ni KE au ME.
 
kashengo

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
2,750
2,000
wewe unajiitaga mwandishi wa habari..katika taaluma yako si umejifunza kitu kinaitwa freedom of speech na freedom of press sio..kwa hiyo ujue pia kila mtu ana haki ya kushabikia timu yoyote anayoipenda...nakuonaga una uchungu na hasira sana ukiona watanzania wanashabikia timu za europe...huwezi lazimisha mtu kushabikia timu za tanzania. uswahili kama huo ndio unarudisha hata maendeleo yenu. its a free world everyone is entitled to their freedom of choice...get on with it

Kweli jamaa anajifanya mzalendoo pyuuu nikashangilie timu inayokwenda Bagamoyo kwa Fundi kabla ya Game? Hata apige makelele vipi hawezi kuubadili mpira wa bongo uliojaa Uchawi na ndumba
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,710
2,000
wewe unajiitaga mwandishi wa habari..katika taaluma yako si umejifunza kitu kinaitwa freedom of speech na freedom of press sio..kwa hiyo ujue pia kila mtu ana haki ya kushabikia timu yoyote anayoipenda...nakuonaga una uchungu na hasira sana ukiona watanzania wanashabikia timu za europe...huwezi lazimisha mtu kushabikia timu za tanzania. uswahili kama huo ndio unarudisha hata maendeleo yenu. its a free world everyone is entitled to their freedom of choice...get on with it

Kanusha usemi.
Mimi sijiiti, mimi ni mwandishi wa habari. Graduate kutoka shule ya uandishi, freelance journalist.
Futa kauli halafu tuendelee...
 
Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,664
1,225
Tutatawala?
Wewe na nani? Nyoooooo!
Badala mkasaidiane kuinua timu yenu ya Nazareti, mumekalia vya wenzenu.
Nashukuru hao Madrid hawahitaji washabiki oya oya kama nyie, wanao wa kwao wanaowachangia viingilio na mauzo ya jezi.
#Mtumwa

mkuu sasa mbona kama tunalazimishana..... hehehe! ila kama ni uzalendo wako umezidi.. bado sijaona soccer la kunishawishi kushabikia hapo bongo..

alafu mkuu wewe kama mwandishi wa habari za michezo ... punguza mipasho .... njoo ya hoja tushawishi tushabikie home!
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,530
0
mkuu sasa mbona kama tunalazimishana..... hehehe! ila kama ni uzalendo wako umezidi.. bado sijaona soccer la kunishawishi kushabikia hapo bongo..

alafu mkuu wewe kama mwandishi wa habari za michezo ... punguza mipasho .... njoo ya hoja tushawishi tushabikie home!

:biggrin1: hawa ni wale watanzania conservatives...wamekulia wamesomea na wanaishi bongo kwa hiyo hata cultures za nje wanakua hawazitaki...mimi mipira ya bongo naangaliaga hasa kama yanga ikicheza coz my local team ni yanga lakini mpira wa bongo hata dakika 90 kumaliza inakua ngumu our local football is very poor compared na european soccer tuliyozoea....ila jamaa anamaindi anaona kama vile tunaukana u-africa nataka nimpeleke old trafford siku moja labda ataanza kushabikia man utd :happy:
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,710
2,000
mphamvu acha kujitia...njoo ujibu hoja...

Wewe na uhakika ni mtoto wa mbwa.
Unaukumbuka ule usemi wa 'Mzungu na baba yako bora nani?'...
Nahisi kwa kina Viper bora baba yao, eti wanataka mimi ndo niwashawishi washabikie soka la bongo, wana akili kweli?
Nini soka, shabikieni hata All Blacks na Springboks na Yankees... Good thing is that they dont bother about YOU, shukuruni internet zinawawezesha kuwa plastic members wa website, na sio timu.
Pathetic!
 
Last edited by a moderator:

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,710
2,000
:biggrin1: hawa ni wale watanzania conservatives...wamekulia wamesomea na wanaishi bongo kwa hiyo hata cultures za nje wanakua hawazitaki...mimi mipira ya bongo naangaliaga hasa kama yanga ikicheza coz my local team ni yanga lakini mpira wa bongo hata dakika 90 kumaliza inakua ngumu our local football is very poor compared na european soccer tuliyozoea....ila jamaa anamaindi anaona kama vile tunaukana u-africa nataka nimpeleke old trafford siku moja labda ataanza kushabikia man utd :happy:

As a matter of fact, I was born in Emahlaleni, Mpumalanga so I'd likely be a die hard fan of Black Aces, or Bucks or Amakhosi instead.
Though I'm in affection with Celts and Bafana, still I have to stand for whats right.
Got me?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom