Real madrid fc 'the galacticos!'

Real madrid fc 'the galacticos!'

Mkuu bayern na Chelsea wameshatolewa. Kawatembelee mabookies ujivutie

A. Madrid watawezaje kushinda, kuzuia wasifungwe London?

Madrid asipofunga goli la pili , ataenda kutolewa Germany
 
Atletico wata force draw ya magoli London. NO Cech, no Lampard, No Terry, No Mikel Chelsea wapo vulnerable. Madrid watakwenda kwa ushindi, tatizo la Bayern wanakuwa exposed kwa counter Madrid walivyo na pace wanaweza kupata goli Munich.
 
Mark Shwanzer golini!

Beki za pembeni Azzp na Cole

Beki za Kati ni Cahill na Ivanovic

Viungo wawili Wa Kati ni Luiz Na Ramires.

Attackers Willian Oscar na Hazard

Strikers utachagua mwenyewe Kati ya Torres na Ba Na Eto'o.

Usikae mnadanganyana hapa!
 
hiki kikosi mkipanga unfield tuu mnatafunwa mbayaaa.

Torres na babu etoo mbona KAZI mtaipata siku hiyo.
mnaenda kwa nguvu za Giza nyie
 
Atletico wata force draw ya magoli London. NO Cech, no Lampard, No Terry, No Mikel Chelsea wapo vulnerable. Madrid watakwenda kwa ushindi, tatizo la Bayern wanakuwa exposed kwa counter Madrid walivyo na pace wanaweza kupata goli Munich.

Amini usiamini, Madrid anaenda kufa ujerumani goals zaid ya mbili..
 
Atletico wata force draw ya magoli London. NO Cech, no Lampard, No Terry, No Mikel Chelsea wapo vulnerable. Madrid watakwenda kwa ushindi, tatizo la Bayern wanakuwa exposed kwa counter Madrid walivyo na pace wanaweza kupata goli Munich.

Lampard na Mikel ni part time players siku hizi {Kwahiyo hakutakuwa na pengo}, Terry kuna watu wanaweza kuziba pengo lake [ingawa siku hizi sijui ni uzee au, jamaa kafulia}, tatizo labda litakuwa kwa kipa.

Hizo counter attacks kwanini wasingezipiga leo hao Madrid? kule Germany ball possession itakuwa 70-30 [sijui watachomokaje hapo}
 
hiki kikosi mkipanga unfield tuu mnatafunwa mbayaaa.

Torres na babu etoo mbona KAZI mtaipata siku hiyo.
mnaenda kwa nguvu za Giza nyie

Kikosi cha kuivaa Loserfool
Golini ni Shwanzer

Beki za pembeni Cole na Azzp

Kati utachagua mwenyew Kati ya Luiz, Cahill na Ivanovic

Kati atasimama Obi na Matic. Attackers utapanga mwenyew!
 
Lampard na Mikel ni part time players siku hizi {Kwahiyo hakutakuwa na pengo}, Terry kuna watu wanaweza kuziba pengo lake [ingawa siku hizi sijui ni uzee au, jamaa kafulia}, tatizo labda litakuwa kwa kipa.

Hizo counter attacks kwanini wasingezipiga leo hao Madrid? kule Germany ball possession itakuwa 70-30 [sijui watachomokaje hapo}
Goli la Madrid limetokana na counter pamoja na makosa ya mabeki wa Munich. Terry pamoja na uzee bado ni key player katika Defense ya Chelsea na anapokosekana unaweza kuona mapungufu. Pamoja ya kuwa sub Lampard akicheza anakuwa na big contribution kubwa kuliko wachezaji kama Mikel na Ramirez. Hivi dogo kwa kibelgium na yeye si majeruhi au kashapona na kucheza 2nd leg?
 
hiki kikosi mkipanga unfield tuu mnatafunwa mbayaaa.

Torres na babu etoo mbona KAZI mtaipata siku hiyo.
mnaenda kwa nguvu za Giza nyie

baba yao Mourinho, ameanza kuleta mind games kuwa ETI atapanga kikosi cha KAWAIDA pale ANFIELD!!!

hahahaha!!!
 
Mourinho ana hila za kibebish sana, bado anafikiri watu wanacheza na viuongo vya zamani
 
Leo kazi ipo kadri muda unavyokaribia na mapigo ya moyo yanazidi kukatisha tamaa, wale jamaa hawaeleweki kabisa hasa kale kababu kao kalikobackdate umri ili kajiite baby kana sifa sana utadhani timu ya baba yake.
 
Back
Top Bottom