Real madrid fc 'the galacticos!'

Real madrid fc 'the galacticos!'

Vile carlo ana roho mbaya,kwa kujua defense ya barca ilivyo kasema Angel di maria ni lazima aanze ili kuwatafutia watu red card za mapema!
 
:biggrin1: hawa ni wale watanzania conservatives...wamekulia wamesomea na wanaishi bongo kwa hiyo hata cultures za nje wanakua hawazitaki...mimi mipira ya bongo naangaliaga hasa kama yanga ikicheza coz my local team ni yanga lakini mpira wa bongo hata dakika 90 kumaliza inakua ngumu our local football is very poor compared na european soccer tuliyozoea....ila jamaa anamaindi anaona kama vile tunaukana u-africa nataka nimpeleke old trafford siku moja labda ataanza kushabikia man utd :happy:



wakuu mech muda gan na chanel ipi
 
Mkuu ni 5 kasoro au 6 kasoro? Muda ulioandikwa ni 21:55 yaani 4 kasoro sasa tofauti yetu ni saa moja au mawili?
Mkuu kwanza tujipe pole yani ilikuwa hai tete, nailaumu defence na refa.Kwa south African time tuko mbele kwa saa limoja, kwa GMT ulaya tuko mbeele masaa matatu.
 
Ah wapi!our mega test was against Atletico!

Mkuu Zenith I told u, Madrid was not yet tested, Madrid had to be tested with a team having attacking prowes. Atletico are not that that good when it comes to attacking unlike Barcelona, Bayern even Chelsea.
Dont give us any excuse abt yesterday's game.
 
Mkoloni kaja na mzigo wa bakora hapo Madrid hadi wenye uzi wao hawaonekani
 
Kinachowasaidia RMA ni wana wining morality kubwa
 
Chelsea ya watu jana ilionewa tu, mbona hii Bayern ndio inaboa sana?
 
UCL final Real Madrid vs Atletico Madrid. You heard it here first.
 
Back
Top Bottom