Full Time malaga 3-2 Real Madrid...ukiunganisha na ushindi wa Barcelona dhidi ya Valladolid Real madrid ameachwa point 16 na hasimu wake Barcelona na point 7 nyuma ya Atletico Madrid walio nafasi ya Pili
Roque santa Cruz alie malaga kwa Mkopo kutokea Man city ni man of the match kwa kutupia goli mbili
Halafu mi miaka yote sijuagi Kashengo unashabikia timu gani...
Maana dah
Acha tujitahidi tumalizie ligi kwa heshima tu,hiki kikombe ni 150% kwa Barca,i admit,inanisikitisha kweli,nasikia Mou na Ronaldo wanatakiwa kwa udi na uvumba PSG.
Asante bosi wangu...
na wekundu wa Msimbazi...unashangaa nipo majukwaa yote? Mi napenda kandanda
ukisajili mspain yoyote turati hutonikosa,hata Manolo el del Bombo CaceresKama we unapenda Kandanda basi pia ni mshabiki wa AC Milan...
Klabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni.
Sorry nilikuwa na haraka kuwahi Catalonia vs Nigeria jana,1-1 Sergio Gonzalez mchezaji wa zamani wa Espanyol alifunga bao kwa Catalonia ambayo inajumuisha wachezaji waliozaliwa jimbo la Catalon,sasa nikamuona Bojan Krkic Perez nikakumbuka AC Milan wanae Mspain kumbe,wachezaji wa Barca waliocheza ni Puyol i Saforcada,Xavi i Creus na Pique i Bernebeu,Xavi na Puyol walitoka,nma alikuwepo chipukizi Bartra,walipumzisha wengine 7bu ya mechi vs espanyol j2 kina Busquets,Valdes,Alba na Fabregas hawakuwemo na hata Espanyol walipumzisha,mechi ilichezwa ufukweni el prat cornella uwanja wa Espanyol,Nigeria walikuwa wanajiandaa kwenda AFCON 2013 SAukisajili mspain yoyote turati hutonikosa,hata Manolo el del Bombo Caceres
Na yule mzee Johan Cruyf akastaafu rasmi kama kocha wa Catalonia.Sorry nilikuwa na haraka kuwahi Catalonia vs Nigeria jana,1-1 Sergio Gonzalez mchezaji wa zamani wa Espanyol alifunga bao kwa Catalonia ambayo inajumuisha wachezaji waliozaliwa jimbo la Catalon,sasa nikamuona Bojan Krkic Perez nikakumbuka AC Milan wanae Mspain kumbe,wachezaji wa Barca waliocheza ni Puyol i Saforcada,Xavi i Creus na Pique i Bernebeu,Xavi na Puyol walitoka,nma alikuwepo chipukizi Bartra,walipumzisha wengine 7bu ya mechi vs espanyol j2 kina Busquets,Valdes,Alba na Fabregas hawakuwemo na hata Espanyol walipumzisha,mechi ilichezwa ufukweni el prat cornella uwanja wa Espanyol,Nigeria walikuwa wanajiandaa kwenda AFCON 2013 SA
swadakta ntakupatia tiketi usikose camp nou j2 hii,yani kila kona kuanzia terrassa,sabadell,arenys de mar,llobregat,girona nk wanazungumzia kuhusu mechi kati ya FC Barca na timu ya kifalme ya Espanyol,Real maana yake royal au ukoo kwa kifalme,hawa wanaitwa Real Club Deportivo Espanol RCD Espanyol,hii ktk jiji la Barcelona mfalme mdogo aliepata kutawala Spain akiwa na miaka 16 Alfonso wa 13 aliinzisha sambamba na pale jijini Madrid alipokuwa na miaka 16 anapewa ufalme mwaka 1902 na mnamo 1920 akatoa jina Real Madrid,na rais maaruf mwenye rekodi anaekumbukwa wa club hapo Real Madrid aliitwa Santiago Bernebeu Yeste.Timu zingine za kifalme ni Real Sociadad iliyopo jijini San Sebastian au mtakatifu Sebastian Km 20 mpakani na France wanapotokea Arteta na Xabi Alonso Olano,Real Zaragoza ya Aragon,Real Betis ya Sevilla,Real Mallorca ya Majorca visiwa ya Palma BevericNa yule mzee Johan Cruyf akastaafu rasmi kama kocha wa Catalonia.
guti, hawa espanyol si tu ni wapinzani, ni wabaya wa Barca pia. espanyol ilipoanzishwa, lengo lilikuwa kuhakikisha wanaidhoofisha Barca na utawala wa madrid walikuwa wanajaribu kuibana Barca kwa kila namna, lakini bahati mbaya kwao ni kuwa tangu kuanzishwa kwake mpaka sasa espanyol imemaliza ligi juu ya Barca mara 3 tu.swadakta ntakupatia tiketi usikose camp nou j2 hii,yani kila kona kuanzia terrassa,sabadell,arenys de mar,llobregat,girona nk wanazungumzia kuhusu mechi kati ya FC Barca na timu ya kifalme ya Espanyol,Real maana yake royal au ukoo kwa kifalme,hawa wanaitwa Real Club Deportivo Espanol RCD Espanyol,hii ktk jiji la Barcelona mfalme mdogo aliepata kutawala Spain akiwa na miaka 16 Alfonso wa 13 aliinzisha sambamba na pale jijini Madrid alipokuwa na miaka 16 anapewa ufalme mwaka 1902 na mnamo 1920 akatoa jina Real Madrid,na rais maaruf mwenye rekodi anaekumbukwa wa club hapo Real Madrid aliitwa Santiago Bernebeu Yeste.Timu zingine za kifalme ni Real Sociadad iliyopo jijini San Sebastian au mtakatifu Sebastian Km 20 mpakani na France wanapotokea Arteta na Xabi Alonso Olano,Real Zaragoza ya Aragon,Real Betis ya Sevilla,Real Mallorca ya Majorca visiwa ya Palma Beveric
wafalme wa Madrid(Real Madrid) waliwafunga wafalme wa San Sebatian(Real Sociedad) 4-3Mpaka dakika ya 39,R.MADRID 2-2 SOCIEDAD.