Real madrid fc 'the galacticos!'

Real madrid fc 'the galacticos!'

hatoki mtu leo pale bernabeu,nina hasira saana!
 
Kufungwa Man U ni lazima kama kifo kwa binadamu.
 
Ila nasikitika tutaruhusu goli moja nyumbani coz tutashinda 3-1.
 
uploadfromtaptalk1362477774526.jpg
Adui wa adui yako ni rafiki yako, tuko hapa Etihad stadium tukijiandaa kwa ushindi wa baadaye dhidi ya Man U!
 
mko wapi nyinyi?naona kule mnapata vifafa vya miguu:A S shade:
 
Halla Madrid the whites, walifikiri kutoka kwa angel di Maria ndo pona pona yao, sisi paka wewe! roho saba.
 
uploadfromtaptalk1362522372148.jpg
Hey you! this is not kung -fu!
 
Kanusha usemi.
Mimi sijiiti, mimi ni mwandishi wa habari. Graduate kutoka shule ya uandishi, freelance journalist.
Futa kauli halafu tuendelee...
nyie waandishi wa habari za kina Wema Sepetu mnakaziiiiii....
 
I'm not afraid coz varane is there for us!Halla Madrid.
 
Real Madrid kama kawa kama dawa, wanaua mzoga ule tatu bila, tukisubiri mzoga mwingine nani tarehe 12.04.2013 ijumaa pale Uswisi wakuu.... The whites always mbele kwa sana tu...
 
Kumekucha ndani ya Turk Telekom Arena,madrid twaongoza 1 through ronaldo dakika ya 7.
 
Ni mapumziko sasa and we are still on the driving seat!
 
Eboue ana chafua score sheet hapa,dakika 56~57gala 1-1 madrid.
 
Hii hali sasa imekuwa ngumu,kenge mumayi,ana nguvu huyo!Gala 3-madrid 1.
 
Back
Top Bottom