Nilikuwa nakukumbusha ubaguzi upo Spain,England,Russia,Italy statement yako ya kwanza umesema ubaguzi uko kwa Waingereza ndio maana nikakuuliza unazungumzia ubaguzi wa aina gani.Hizi case za kina John Terry +Ferdinand sio incident kubwa(mchezaji kwa mchezaji) sema zilikuzwa na media ni tofauti ya ile ya wachezaji wa England (Ashley Cole +Wright Philips) walikuwa wanaitwa nyani na mashabiki wa Spain au case ya Etoo mashabiki wa Zaragoza walikuwa wanamwita nyani mpaka akataka kutoka uwanjani (ni incident kati ya mashabiki na mchezaji)