Real madrid fc 'the galacticos!'

kaaazi kweri kweri! wengine wa ulaya na wengine wa bongo! ligi taaamu hiyooo! kuliko hata hizo mnazolumbania teh!
 
mkuu sasa mbona kama tunalazimishana..... hehehe! ila kama ni uzalendo wako umezidi.. bado sijaona soccer la kunishawishi kushabikia hapo bongo..

alafu mkuu wewe kama mwandishi wa habari za michezo ... punguza mipasho .... njoo ya hoja tushawishi tushabikie home!

Nianze na mipasho, ni suala la mtazamo tu. Unachoona wewe mpasho., inaweza kuwa bonge la point to someone somewhere.
Mimi sikulazimishi ushabikie la nyumbani, ila ukiangalia kwa undani utagundua ushabiki wenu unaishia kwenye televisheni na mtandaoni, ambako soka halichezwi huko, lakini ukienda kwa stadia nearby, utaipata soccer spirit ambayo huwa unaiona kwa televisheni.
Mie ni mdau wa BundesLiga pia, lakini huezi nisikia nikisema kuwa ati sisi Fortuna Düssedorf tumefanya nini na nini blah blaha.
You feel to be part of Arsenal, which is as per matter of fact YOU AREN'T, na hawakuhitaji! Ukibahatika kwenda Emirates siku moja stil utajikuta mgeni na mkiwa, worse enough watahisi umekuja kuiba koki za washroom instead.
Here is where you belong, forever!
Kukufanya upakubali sio jukumu langu, lazima ufikie kama greathinker, je ni halali kudhani kuwa wewe ni sehemu ya wasiotambua hata uwepo wako?
 
Acha mawazo mgando mkuu, Real Madrid au AC MILAN wanapofanya makadirio ya idadi ya mashabiki wao, hawasemi tuna mashabiki kadhaa Hispania au Italy respectively, wanasema tuna mashabiki kadhaa dunia nzima. Kwa hiyo hata huku africa tunatambulika pia.Hizi timu zinapata mashabiki kutoka mataifa na mabara mbali mbali kutokana na vikosi vya hizi timu kujengwa na vipaji vya mataifa mbali mbali.
 
Hoja mufilisi kabisa.
Lets go for the fact, wewe #ZENITH na Real Madrid uhusiano wenu umejengwa wapi zaidi ya kideoni?
Wewe ukisema Madridista yenu na wanaoenda uwanjani kila wiki wasemaje?
Nikutofautishaje na teja ambaye baada ya kupata kitu cha kibati anajihisi yuko Manhattan?
 
Anhaa,sasa nimeanza kukuelewa, unamaanisha mtu wa songea vijijini asiye na nauli ya kwenda songea mjini kuitazama maji maji ikicheza haruhusiwi kuwa shabiki wa maji maji?
 
Madrid na Majimaji tena? Halafu Namtumbo vs Tanzania... Mbona unanichanganya?
 
Sikuchanganyi mkuu, manake mtizamo wako unaonesha kwamba mtu hawezi kuwa shabiki wa timu fulani mpaka awe anaingia kila mechi uwanjani na kuchangia kiingilio. Hata pale hispania pia si mashabiki wote wa real madrid huingia ndani ya bernabeu, wapo mashabiki wengi wanao-watch live matches through big screens around the streets kama sisi tunavyofanya huku Tanzania.
Hata ukisema sina mchango wowote bado mimi sikuungi mkono.Ili wapate haki ya kurusha match ya Real Madrid live, Supersport kuna malipo makubwa tu wanailipa Real Madrid.Na mimi ninaetazama match ya Real Madrid via Supersport, ninailipa pesa nyingi tu za kitanzania Supersport kila mwisho wa mwezi.Kwa hiyo indirectly mimi pia ninaichangia timu yangu kipenzi ya Real madrid kwasababu wateja kama mimi ndio tunaoiwezesha Supersport kulipia fee ya matangazo kwa REAL MADRID FC.
 
Binafsi nimeielewa pointi yako, ila ngoja tumsubiri mwandishi wa habari Mphamvu aje na utetezi wake.
tumpe muda, na atakae muona huko amvute chwein lai yake na amwambie aje ajibu hoja huku.
Sio anajificha kwenye jukwaa la mapishi wakati hata kuchemsha maji ya kuoga hawezi...
 
1. Casilas
2. Selgardo
3. Carlos
4. Helguera
5. Hiero
6. Makelele
7. Figo
8. Redondo
9. Morientes
10. Raul
11. Zidane

Bench.

Mcmanaman, guti, solari, cessar, pavon ...........

Dah, hiki kikosi hata barcelona ya sasa wanasubiri. Mpira ulikuwa safiii, no presha, no kulalamikiwa na timu pinzani ya kuwa madrid imependelewa baada ya mechi.
 
Acha tu, those days we were untouchable, watu walikuwa wanakaba hewa mpaka wanachoka, then wanabaki kutembea uwanjani na kuendelea kututazama tukitandaza soka like aliens!
 
Binafsi nimeielewa pointi yako, ila ngoja tumsubiri mwandishi wa habari Mphamvu aje na utetezi wake.
tumpe muda, na atakae muona huko amvute chwein lai yake na amwambie aje ajibu hoja huku.
Sio anajificha kwenye jukwaa la mapishi wakati hata kuchemsha maji ya kuoga hawezi...

Zilonga kumlomo mzaramo.
Ubena-Zomozi wazima?
 
Sikuchanganyi mkuu, manake mtizamo wako unaonesha kwamba mtu hawezi kuwa shabiki wa timu fulani mpaka awe anaingia kila mechi uwanjani na kuchangia kiingilio. Hata pale hispania pia si mashabiki wote wa real madrid huingia ndani ya bernabeu, wapo mashabiki wengi wanao-watch live matches through big screens around the streets kama sisi tunavyofanya huku Tanzania.
Hata ukisema sina mchango wowote bado mimi sikuungi mkono.Ili wapate haki ya kurusha match ya Real Madrid live, Supersport kuna malipo makubwa tu wanailipa Real Madrid.Na mimi ninaetazama match ya Real Madrid via Supersport, ninailipa pesa nyingi tu za kitanzania Supersport kila mwisho wa mwezi.Kwa hiyo indirectly mimi pia ninaichangia timu yangu kipenzi ya Real madrid kwasababu wateja kama mimi ndio tunaoiwezesha Supersport kulipia fee ya matangazo kwa REAL MADRID FC.
Kuna kuwa mdau ni suala moja, na kusema Madrid yenu ni suala jengine. Uhusiano wako na Los Blancos unaishia kibanda umiza tu.
Huo mlolongo wa malipo uliouainisha ni sawa kabisa, lakini vipi kama tungeufanya kwa timu za nyumbani ambazo zinacheza soka pia?
Hudhani kama kwa kufanya hivyo tutakuza uchumi wa nyumbani na kufanya soka kuwa ajira ya kuamininika in such a way hata mdogo wako anaweza kuajiriwa nayo.
Utumwa wa fikra unaanza hapo, na kuendelea kwengine. #Gang Chomba yake ni Abajalo, huko kwingine anajipendekeza tu, na hawamuhitaji.
Sijui mwenzangu kwako ni wapi?
 
Sawa,mimi niko moro kikazi but mbeya ndo home, sasa sijui niipe support mtibwa ya Morogoro au prisons ya mbeya?
 
Kuna kuwa mdau ni suala moja, na kusema Madrid yenu ni suala jengine. Uhusiano wako na Los Blancos unaishia kibanda umiza tu.
Huo mlolongo wa malipo uliouainisha ni sawa kabisa, lakini vipi kama tungeufanya kwa timu za nyumbani ambazo zinacheza soka pia?
Hudhani kama kwa kufanya hivyo tutakuza uchumi wa nyumbani na kufanya soka kuwa ajira ya kuamininika in such a way hata mdogo wako anaweza kuajiriwa nayo.
Utumwa wa fikra unaanza hapo, na kuendelea kwengine. #Gang Chomba yake ni Abajalo, huko kwingine anajipendekeza tu, na hawamuhitaji.
Sijui mwenzangu kwako ni wapi?

Awali ya yote nikupongeze Mphamvu kwa kuonyesha kukomaa katika kujibizana kwa hoja.
kitendo chako cha kukubaliana na ukokotoaji alioufanya Zenith wa kuweka wazi mchango wake anaoichangia Madrid na wewe kujaribu kumpa ushauri kuwa kama malipo hayo yangefanyika kwa vilabu vyetu vya bongo basi ingeweza kuza soka letu na kutengeneza ajira za kuaminika kwa wazalendo ni mchango mzuri saana, lakini kwa jinsi tulivyokuwa nyuma ya Muda sidhani kama itawezekana kama tunavyodhani...

Mphamvu na Zenith Sijui labda nini kifanyike ili kurudisha imani ya wazalendo katika soka letu la nyumbani...?
 
Wewe na uhakika ni mtoto wa mbwa.
Unaukumbuka ule usemi wa 'Mzungu na baba yako bora nani?'...
Nahisi kwa kina Viper bora baba yao, eti wanataka mimi ndo niwashawishi washabikie soka la bongo, wana akili kweli?
Nini soka, shabikieni hata All Blacks na Springboks na Yankees... Good thing is that they dont bother about YOU, shukuruni internet zinawawezesha kuwa plastic members wa website, na sio timu.
Pathetic!

SAWA BANA MCHAMBUZI WA MICHEZO ( MUANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO) SHUJAA WEWE....!

Arsenal My heart Juventus My soul
VIPER
 
Awali ya yote nikupongeze Mphamvu kwa kuonyesha kukomaa katika kujibizana kwa hoja.
kitendo chako cha kukubaliana na ukokotoaji alioufanya Zenith wa kuweka wazi mchango wake anaoichangia Madrid na wewe kujaribu kumpa ushauri kuwa kama malipo hayo yangefanyika kwa vilabu vyetu vya bongo basi ingeweza kuza soka letu na kutengeneza ajira za kuaminika kwa wazalendo ni mchango mzuri saana, lakini kwa jinsi tulivyokuwa nyuma ya Muda sidhani kama itawezekana kama tunavyodhani...

Mphamvu na Zenith Sijui labda nini kifanyike ili kurudisha imani ya wazalendo katika soka letu la nyumbani...?

Enheee!
Hapo tunaongea sasa, kwanini tuwe wa kwanza kupinga watu wakishabikia tamaduni za nje, tunasema uzungu umewazidi lakini kwenye soka sisi ndo wazungu mpaka unakuwa uchizi. Imagine mtu anashindwa kula kisa Arsenal wamefungwa downtown London.
Huu ushabiki haukuja by default, watu wamefanya juhudi huko Ulaya na kwingineko. Usione hizi trophy tours ukadhani ziko kwa fasheni, ni sehemu ya kutangaza league zao.
Miaka kadha nyuma Liga BBVA ilikuwa inarushwa bure na TBC sijui kwa udhamini wa nani, matokeo yake ni kuwa watu washagawana timu huko Spain.
Eti naambiwa rais Kagame nae ni shabiki wa Arsenal, kweli tuko nyuma ya muda.
 
SAWA BANA MCHAMBUZI WA MICHEZO ( MUANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO) SHUJAA WEWE....!

Arsenal My heart Juventus My soul
VIPER

Sitaki ushujaa wa kupewa.
Lets go for facts...
Hujihisi mtumwa kwa kudai eti your heart ni Arsenal (kitu ambacho unajua si kweli)?
 
Back
Top Bottom