........ ReaD.......

Vanpopeye

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
620
59
Chuo kina maprofesa takriban 200..ndo chuo kinachoongoza kwa kua na maprf wengi tanzania na afrika mashariki...ni chuo cha kwanza tz kutoa prof mwanamke(jina kapun msigundue mapema) ...ni kipi.......!?
 
IFM jamani au
 
Oya man! Ulikosa cha ku-post nini? Bac siunge post hata no. Yako au ya dadako, kidogo inge 2saidia wadau! Kuwa serious men
 
Sometimes it is better to be quite than to talk,cause through talking or writing we give some information about who we real are.
 
Back
Top Bottom