RE: “War Made the State and the State Made War” - SOUTH SUDAN

RE: “War Made the State and the State Made War” - SOUTH SUDAN

Sumu ya kubaguana haiishii kubaguana Wasudan wa kaskazini na wa kusini, wa kusini walivyokwisha pata uhuru tu kutoka kwa wakaskazini na wao wakaanza kubaguana, huyu Dinka, huyu nani.

Ndiyo yale yale aliyoasa Nyerere kuhusu kuuvunja muungano.

Tutaanza hawa Wazanzubari, wale Wazanzibara. Mara Watanganyika, mara wa kaskazini (nishaanza kusikia watu wanataja hiki kitu).

Let this be a reminder that we are not immune to a similar debacle, despite all the airs of invincibility and propaganda to the tune of "kisiwa cha amani".
Mkuu Kiranga, huo ndio ukweli wenyewe. Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Kabla ya kuundwa kwa Republic of South Sudan, kuna wataalamu waliokuwa na wasiwasi hilo tatizo kati ya the Dinka (15%) na Nuer (10%). Lakini ni wachache waliotegemea kwamba conflict ingezuka mapema namna hii, yaani hata kabla nchi hii changa haijatimiza miaka mitano.Yote ni kwa sababu ya ubaguzi na uroho wa madaraka.
Halau hapo pembeni, kuna makabila ya Bari na Azande ambayo yamekaa pembeni. Yanatathmini ni wapi yaingilie kati. Tutakaa tunawalaumu wazungu miaka DAHARI, na kusahau kwamba sisi wenyewe ndio chanzo ya matatizo yetu.
 
U.N founds mass graves in South Sudan as fighting spreads.
 
Hawa wapepata uhuru nchi inatoa mafuta na wangekuza uchumi wao lakini uchu na ufisadi uko kwenye damu.
 
Hata al bashir alikuwa hawachinji kama wanavyochinjana wenyewe wakiwa huru.
 
The blackest people in black africa are in their blackest trouble
 
yes, the wise man said (mwl Nyerere) DHAMBI YA KUBAGUA UKISHA KUIFANYA HUWEZ KUIACHA, NI SAWA NA KULA NYAMA YA MTU. wamewabagua wenza north sudan sasa wameanza kubaguana wao tena..., mpaka waishe wote. hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom