Ndugu zetu wakristo nao wameamua kupigana wao kwa wao.
Mimi kwa uelewa wangu mdogo najua kabisa kila sehemu yenye mto Africa kuna westerner wapo nyuma ya huo moto si kawaida kabisa, anzia Rwanda ya 1994, njoo DRC nenda Central Africa rudi nyuma enzi za RENAMO na FRERIMO kote huko kuna mkono wa mzungu,naamini na kwenye hili la SOUTH SUDAN sisi kwa macho yetu tunaona eti ni ethic war lakini kuna kitu ambacho baada ya miaka kadhaa kama ilivotokea Rwanda ukweli umeanza kusema baada ya miaka karibia 20 kupita
Hapo ndo utaamini waafrika ujinga ni asili yao.... Samahani kama nimemkwaza mtu
atakaekwazika atakua sio mzima.sorry kama nimemkwaza mtuHapo ndo utaamini waafrika ujinga ni asili yao.... Samahani kama nimemkwaza mtu
Mpiga Domo, hakuna vitu vya kawaida kwenye vita. Asikwambie mtu. Vita ya Sudan tangu ianze imeisha maliza watu 2.5 million people. Sasa sielewi unaposema kuuana kivita ni vitu vya kawaida kihistoria unamaanisha nini. Mwanzo, ilipokuwa vita vya North/South, Dunia ilidhani kwamba Sudan ikigawanya basi mambo yatakuwa shwari. Leo hii South Sudan wameanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe. Wahanga siku zote ni wanawake, watoto, na watu wazima. Hebu angalia Ramani ya hii nchi na mipaka yake, ndipo utakapoelewa kasheshe inayoweza kutokea hii vurugu ikiachiwa iendelee.jaman hivi ni vitu vya kawaida katika world history, most african states are still young so lazima waekane sawa wazungu wenyewe wameshatandikana sana wenyewe kwa wenyewe mara kibao and imewachukua karne nyingi kufikia kuwa hapa walipo
So guys lets give them time it's a natural thing kabisa that can happen in a such young country like South Sudan