ujinga ni kuendesha gari automatic alafu wewe unaegesha mkono kwenye gear kama vile unataka kuchange gear.
Ujinga ni kununua gari kumbe pesa auna muda wa jioni ukiwa unarudi home unapakia abiria noha
ujinga ni mwanamke kukojoa uku kasimama
Hapo kwenye bold, unanikumbusha avatar ya Yo Yo ilivyonipa taabu nilipoiona mara ya mwanzo! Sikutumia arrow ya mouse ila kidole changu kufukuza mdudu kwenye screen!