RE: Tanzaniia : Baraza la mawaziri miaka 27 iliyopita.

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
387175_978784256365_1096066947_n.jpg
 
Hapo nchi iko shimoni haina hata senti tano ya kigeni benki. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Kumbe na mimi nishakuwa mtu wa zamani...lingali akili yangu yaniambia it was just like yesterday.
 
Lilikuwa baraza la ukweli mawazili wachache angalia la sasa liko kama group la wanakwaya jamani.
 
Back
Top Bottom