Je mabadiliko ya baraza la mawaziri yataleta tija ?

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,500
21,974
Mkeka umechanika....!?

Hivyo ndivyo mchora vibonzo wetu wakudata anavyotizama mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini Tanzania.

Umemtambua nani hapo aliyeachwa na gari? na Unaona mabadiliko hayo yataleta tija?

Chanzo: DW Swahili
1693585820586.jpg
 
Mkeka umechanika....!?

Hivyo ndivyo mchora vibonzo wetu wakudata anavyotizama mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini Tanzania.

Umemtambua nani hapo aliyeachwa na gari? na Unaona mabadiliko hayo yataleta tija?

Chanzo: DW Swahili View attachment 2735896
Mvinyo uleule kwenye chupa mpya!
Hakuna tija itakayoonekana na kabla ya this time next year hili baraza litapanguliwa tena
Kinachoonekana hapo ni makundi na nyufa, kuviziana na kutafutana

Hakuna mwadilifu hata mmoja, hakuna msafi, wote ni wapiga dili wasiozingatia majukumu yao! Kila mmoja anawaza kula haraka kabla hajaondoshwa hapo alipo
 
Sasa naamini hii ndio maana ya bara giza,hata uwashe taa bado giza limetanda.Hadi pale watulizwapo mahali na kuwashiwa taa na waangalizi 12😂😂😂 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Mkeka umechanika....!?

Hivyo ndivyo mchora vibonzo wetu wakudata anavyotizama mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini Tanzania.

Umemtambua nani hapo aliyeachwa na gari? na Unaona mabadiliko hayo yataleta tija?

Chanzo: DW Swahili View attachment 2735896
Tumewatambua wote huyo mchoraji mvivu hodari anachukua picha(photographs) na kubandika na kuchora vimwili vya kikatuni chini kamaliza, hadi ktk sanaa tunaleta michongo tu tutaishia hapa hapa.
 
Back
Top Bottom