Re: Mara 100

mara 100 kuvuta nyota kuliko kunywa castle light
mara 100 kutembea na miguu kuliko foleni za buguruni
100 kua hujui kuliko HUJUI then hujui kama hujui?

MARA 100 nishabikie KILIMANJARO BOYS ILA USIWE SHABIKI WA TIMU YOYOTE YA NJE

mara mia kuandika uliyo yaandika kuliko kukaa kimya. mia
 
1. Mara mia uwe masikini bongo kuliko tajiri mtoni ukiwa shoga.
2. Mara mia uamini kuwa Mungu yupo na usimkute, kuliko kuamini hayupo na ukamkuta.
3. Mara mia nishabikie Wigan kuliko Man U.

Kumbe na wewe anti-Man U kama mimi enh??
 
mara mia kupiga dogi style kuliko katerero.

Katerero ya ukweli wewe acha utani.. Kterero ni bad news.. hata hivyo katerero ni kikolombwezo tofauti na dogi ambayo ni staili..

Aichukia katerero basi ujue hajui kuitumia.. Omba msada we bwana uelekezwe jins ya kuifanya in an advanced way
 
mara 100 kufuga nywele sehemu nyeti kuliko za kwapani
Mara 100 kuwa na demu/hawala kuliko kuwa na wake zaidi ya mmoja (demu akilala na njaa poa tu lakini mke duuuu)
 
mara 100 kuvuta nyota kuliko kunywa castle light
mara 100 kutembea na miguu kuliko foleni za buguruni
100 kua hujui kuliko HUJUI then hujui kama hujui?

MARA 100 nishabikie KILIMANJARO BOYS ILA USIWE SHABIKI WA TIMU YOYOTE YA NJE

Ni mara mia kushabikia Twiga stars kuliko taifa stars
 
Mara mia kumtegemea Mungu hasa wanasiasa kuliko kumtegemea mganga
 
Mara mia kumshabikia VAN PERSIE kuliko kumshabikia rooney.

Mara mia kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa m2 Tanzania
 
Mara mia kumshabikia VAN PERSIE kuliko kumshabikia rooney.

Mara mia kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa m2 Tanzania
 
mara 100 kuchangia hapa kuliko kutoa mapovu kule jukwaa la siasa au la dini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom