Re: Mara 100

Re: Mara 100

mara 100 kufuga nywele sehemu nyeti kuliko za kwapani
Mara 100 kuwa na demu/hawala kuliko kuwa na wake zaidi ya mmoja (demu akilala na njaa poa tu lakini mke duuuu)

Acha kukimbia majukumu wewe kichwa ngumu
 
mara 100 kufuga nywele sehemu nyeti kuliko za kwapani
Mara 100 kuwa na demu/hawala kuliko kuwa na wake zaidi ya mmoja (demu akilala na njaa poa tu lakini mke duuuu)

Nani amekwambia kwapa si sehemu nyeti
 
1. Mara mia ukiwa mwizi upigwe na wanajeshi kuliko kupigwa na wananchi.
2. Mara mia uishi Mbeya kwenye baridi kuliko Dar kwenye joto.
3. Mara mia upigwe na nondo kuliko kupata ajali mbaya ya boda boda.
 
mara mia kuwa na demu mbaya mtulivu kuliko mrembo mapepe.
 
mara mia kuchelewa first date kuliko interview ya kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom