Re: Mara 100

Re: Mara 100

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
335
1. Mara mia upigwe vibao polisi kuliko kupigwa virungu.

2. Mara mia utumie Nokia ya tochi kuliko simu ya kichina.

3. Mara mia tuongozwe na Slaa kuliko huyu.

4. Mara mia ujikojolee kuliko kujinyea.

5. Mara mia ujitupe ghorofan ukifumaniwa na mke wa mtu kuliko kuingiliwa kinyume na maumbile na mijibaba ya miraba minne (mnakumbuka skendo ya chamilion arusha)

6. Mara mia uoe mke mbumbu kuliko aliyesoma

7. Mara mia kujenga house au kufanya biashara kuliko kununua gari kwa mkopo wa kwanza benki.

8. Mara mia kunywa bia asubuhi kuliko chai ya rangi.

9. Mara mia kutizama comedi ya ch 10 kuliko Orijino comedi ya TBC.

Wanajamii naomba tuendelee hapo
 
10.Mara mia kukaa kimya kulilko kucopy na kupaste,halafu kujifanya umetoa mpya..
11.mara mia kudisco chuo kuliko kupata cheti kwa kumhonga prof chini..

Umeona eenh??
 
Hiyo namba 7 mkuu,ni bora ujenge nyumba kwa mkopo wa benki kuliko kununua gari na kwenda kulipaki kwa mwanaume mwenzio huko uliko panga
 
Mara mia kupiga kavu ukapata ngoma kuliko kutumia zana ikapasuka na ngoma ukaipata pia....kwikwikwi
 
Mara mia kuwa mpagani kuliko kujifanya umeokoka kumbe unavizia watoto chachi
Mara mia mkumuacha demu mwenye tabia mbaya kuliko kuvumilia ukisema atachenji.
Mara mia kuoa malaya kuliko bikra
 
1. Mara mia upigwe vibao polisi kuliko kupigwa virungu.

2. Mara mia utumie Nokia ya tochi kuliko simu ya kichina.

3. Mara mia tuongozwe na Slaa kuliko huyu.

4. Mara mia ujikojolee kuliko kujinyea.

5. Mara mia ujitupe ghorofan ukifumaniwa na mke wa mtu kuliko kuingiliwa kinyume na maumbile na mijibaba ya miraba minne (mnakumbuka skendo ya chamilion arusha)

6. Mara mia uoe mke mbumbu kuliko aliyesoma

7. Mara mia kujenga house au kufanya biashara kuliko kununua gari kwa mkopo wa kwanza benki.

8. Mara mia kunywa bia asubuhi kuliko chai ya rangi.

9. Mara mia kutizama comedi ya ch 10 kuliko Orijino comedi ya TBC.

Wanajamii naomba tuendelee hapo

Hapo kwenye red..Tena iwe castle lite ya baridi na k.moto

10.Mara mia kutumia kibatari kuliko umeme wa TANESCO
 
mara ten times ten kujijamb*a pakanuka kuliko kujinye* ukachafuka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom