Re: Kamata kamata yaendelea UDSM

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Jeshi la polis wakishirikiana na askari wasaidizi wa chuo kikuuu cha dar es salaam wameendelea na operesheni kamatakamata na hivi leo majira ya saa 4 asubuhi kiijana mmoja anaywjulikana kwa jina la fred chacha hatari alitiwa nguvuni na jeshi baada ya kufika katika ofisi ya mshauri wa wanafunzi kuchukua inayodaiwa kuwa barua kutoka kwa mamlaka za juu za chuo.

Amepelekwa katika kituo kisichofahamika mpaka sasa
 
Wamefikishwa leo mahakama ya kisutu, wakasomewa mashtaka ya kukusanyika bila kibali na kukiuka amri ya polisi. masharti ya dhamana yalikuwa ni pamoja na fedha taslimu sh. milioni moja na utambulisho kutoka katika mamlaka rasmi.
 
Hiyo Milioni moja ni kwa kila mmoja wao au kwa wote? Kama ni kwa kila mmoja wao basi hawatakaa wapate dhamana maana inwaezekana walikuwa frontline kwasababu ya kukosa loan sasa m moja wataitoa wapi?
 
Hiyo Milioni moja ni kwa kila mmoja wao au kwa wote? Kama ni kwa kila mmoja wao basi hawatakaa wapate dhamana maana inwaezekana walikuwa frontline kwasababu ya kukosa loan sasa m moja wataitoa wapi?

ingekuwa wote si ingechangwa fasta, ni kila mmoja hiyo. kimsingi nadhani utaratibu wa kimahakama umeingiliwa na maamuzi kutoka executive.
 
Hao wameenda kusoma au kuandamana. Ikibidi wafutwe kabisa chuo ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Samahani off topic kidogo:
Hivi wanavyosema zamana mil 1 wanamaanisha kwamba ukitoa mil 1 unakuwa ufungwi,je hizo hela utakuja kurudishiwa lini? Kesi inapoisha au ndo ntoleee hiyo?
 
Wamefikishwa leo mahakama ya kisutu, wakasomewa mashtaka ya kukusanyika bila kibali na kukiuka amri ya polisi. masharti ya dhamana yalikuwa ni pamoja na fedha taslimu sh. milioni moja na utambulisho kutoka katika mamlaka rasmi.
Nilikuwa mahakamani Kisutu. Masharti ya dhamana ni kuwa na mdhamini mmoja wa kuaminika atakayesaini dhamana ya ahadi (bond) ya Sh milioni moja... hiyo habari ya kwua wanatakiwa kuweka sh million moja taslimu wala sikuisikia
 
ingekuwa wote si ingechangwa fasta, ni kila mmoja hiyo. kimsingi nadhani utaratibu wa kimahakama umeingiliwa na maamuzi kutoka executive.
Nadhani hapo wanatakiwa gerezani ili wajifunze ndiyo maana limepita zengwe hapo!
 
Nilikuwa mahakamani Kisutu. Masharti ya dhamana ni kuwa na mdhamini mmoja wa kuaminika atakayesaini dhamana ya ahadi (bond) ya Sh milioni moja... hiyo habari ya kwua wanatakiwa kuweka sh million moja taslimu wala sikuisikia
Wewe unadhani hilo ni sharti dogo kwa mwanachuo? Nadhani wengi wamekwenda lupango kwa kushindwa kupata wadhamini.
 
Je Bado tunahitaji sheria kama hizi kwenye nchi ya Kidemokrasia yenye katiba inayotambua haki za msingi za Binadamu ( Bills Of Rights)? Kanuni ya adhabu( Penal Code) inaweka bayana kuwa

74. Definition of unlawful assembly and riot
(1) When three or more persons assemble with intent to commit an offence or, being assembled with intent to carry out some common purpose, conduct themselves in such a manner as to cause persons in the neighbourhood reasonably to fear that the persons so assembled will commit a breach of the peace or will, by that assembly needlessly and without any reasonable occasion, provoke other persons to commit a breach of the peace, they are an unlawful assembly.

(2) It is immaterial that the original assembling was lawful if, being assembled, they conduct themselves with a common purpose in the manner referred to in subsection (1).

(3) When an unlawful assembly has begun to execute the purpose for which it assembled by a breach of the peace and to the terror of the public, the assembly is called a riot, and the persons assembled are said to be riotously assembled.

75. Punishment for unlawful assembly
Any person who takes part in an unlawful assembly is guilty of an offence and is liable to imprisonment for one year.

76. Punishment for riot
Any person who takes part in a riot is guilty of an offence.

77. Making proclamation for rioters to disperse
A magistrate or, in his absence, a police officer of or above the rank of inspector, or any commissioned officer in the military forces of the United Republic, in whose view twelve or more persons are riotously assembled, or who apprehends that a riot is about to be committed by twelve or more persons assembled within his view, may make or cause to be made a proclamation in the President's name, in such form as he thinks fit, commanding the rioters or persons so assembled to disperse peacefully.

78. Dispersion of rioters after proclamation
If upon the expiration of a reasonable time after a proclamation is made, or after the making of the proclamation has been prevented by force, twelve or more persons continue riotously assembled together, any person authorised to make a proclamation, or any police officer, or any other person acting in aid of that person or police officer, may do all things necessary for dispersing the persons so continuing assembled, or for apprehending them or any of them, and, if any person makes resistance, may use all such force as is reasonably necessary for overcoming the resistance, and shall not be liable in any criminal or civil proceedings for having, by the use of such force, caused harm or death to any person.

79. Rioting after proclamation
If a proclamation is made, commanding the persons engaged in a riot or assembled with the purpose of committing a riot, to disperse, every person who, at or after the expiration of a reasonable time from the making of the proclamation, takes or continues to take part in the riot or assembly is guilty of an offence, and is liable to imprisonment for five years.

Hizi sheria zimepitwa na wakati na zinakiuka haki za msingi, ziondolewe haraka!!!!!!!
 
Nilikuwa mahakamani Kisutu. Masharti ya dhamana ni kuwa na mdhamini mmoja wa kuaminika atakayesaini dhamana ya ahadi (bond) ya Sh milioni moja... hiyo habari ya kwua wanatakiwa kuweka sh million moja taslimu wala sikuisikia

sawa! una maana mdhamini wa kuaminika alikosekana? tumepeleka barua za utambulisho zilizotoka ofisi ya dos, kuna kuaminika kwingine zaidi ya hapo?
 
Hao wameenda kusoma au kuandamana. Ikibidi wafutwe kabisa chuo ili iwe fundisho kwa wengine.
Watu wengine cjui vip au kwakuwa kwenu mambo safi mlivyodornald camerooniwa mnafaidieeee haya endelea kukuzautundu wako ili na wengine wafaidi
 
Najua unasema hivyo kwa sababu utundu wako umekuzwa na hao kina cameroon huko nyuma haukuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom