Najua kwann uansema hivyo kwa sbb utundu wako umekuzwa na kina cameroon huko nyuma haukuwa hivyo ndo maana unakiburi kwakuwa mmeshajilimbikizia mali za wanyonge ambao wakizidai mnawaweka ndani ipo cku haina jina........Hayo mapandikizi ya Chadema lazma kuyang'oa mapema.