RC wa Iringa kafanya madudu gani?

RC wa Iringa kafanya madudu gani?

Aisee, hata wewe?
Mkuu mimi nampa tahadhari tu mdogo wangu Hapi, siasa za Iringa especially hapo mjini siyo rahisi kama anavyofikiria hii mingine ni mitego tu. Si umeona Jaffo alivyoingilia kati kuokoa Jahazi. Sera ya bure popote pale ni kwa watu wasio na uwezo siyo kwa watu wote. Hospitali ya Iringa mjini ni miongoni mwa hospitali chache hapa nchini zilizokuwa na Huduma ya Grade One tokea enzi ya Nyerere sasa yeye Salum anakurupuka nini leo. Hao Iringa mwaka 1995 walimchagua mbunge wa Upinzani mwalimu Kibassa na Nyerere alitoa baraka zake asiwachukulie poa!
 
Kwa lililotokea kwenye hiyo video,mimi nipo upande mmoja na Hapi...hata kama ni daktari bingwa haiwezekani awaumize ndugu zetu wakati serikali ilishatangaza matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5,wazee kuanzia miaka 60 na akina mama wajawazito afu mtu aje Awalaipishe hela,tena bila mganga mkuu wa hospital kushirikishwa,katibu mkuu wa wizara including waziri na boby ya hospital halafu mseme jamaa kakurupuka,hapana aisee,pia hajamfukuza kazi ili kamkataa ndani ya mkoa wake kutokana na utendaji wake mbovu,hata kama Hapi ana mapungufu mengine lakini sio kwenye hili aisee,tu`reason vitu bila chuki wakuu!
Utaratibu wa hospitali za rufaa ni kutibu wagonjwa wenye rufaa. Ikitokea amekuja mgonjwa hana rufaa unafanyaje???
 
Unapambana kweli kumtetea
 
Happy hana kosa hata kidogo ukiangalia creep nzima na ukaisikiliza kwa makin maamzi aliyoyachukua kwa mtu yoyote mwenye uchungu angeyafanya isitoshe Huyo Dk kapewa muda wa kutosha sana wa kujieleza kashindwa yaani happy hajakurupuka kusema ukwel tu bila kuegemea upande
 
Watoto wachanga na wazee wenye hela wasiotaka usumbufu hata Muhimbili wanalipia huo utaratibu ni wa kawaida sana. Ingekuwa analipishwa mtoto aliyepewa rufaa kutoka Flerimo kwenda regional hospital hapo ndio ningekubaliana na Hapi. Nilichokiona hapo ni siasa za kuviziana na hii inaweza kumjenga Msigwa badala ya kumbomoa. Nimpongeze Waziri Jaffo katika hili!
Kwenye hiyo video imeulizwa kuhusu sera ya nchi inasemaje kuhusu matibabu ya wazee na watoto, labda utusaidie kama watoto ni lazima walipe pia mseme ili wananchi na watendaji wajue.
Msilete habari za ujanja ujanja, mara chini ya miaka mitano wasilipe kumbe pia hampeleki pesa za kutosha kwenye hospitali hizo. Sijaona kosa la mkuu mkoa. Kama utaratibu wa malipo umebadirika muweke wazi ili kuepuka mivutano ya wananchi na madaktari
 
Mkuu mimi nampa tahadhari tu mdogo wangu Hapi, siasa za Iringa especially hapo mjini siyo rahisi kama anavyofikiria hii mingine ni mitego tu. Si umeona Jaffo alivyoingilia kati kuokoa Jahazi. Sera ya bure popote pale ni kwa watu wasio na uwezo siyo kwa watu wote. Hospitali ya Iringa mjini ni miongoni mwa hospitali chache hapa nchini zilizokuwa na Huduma ya Grade One tokea enzi ya Nyerere sasa yeye Salum anakurupuka nini leo. Hao Iringa mwaka 1995 walimchagua mbunge wa Upinzani mwalimu Kibassa na Nyerere alitoa baraka zake asiwachukulie poa!
kuna kipindi ute wa kijani ukiondoka kichwani unatema madini ee
 
Kwa lililotokea kwenye hiyo video,mimi nipo upande mmoja na Hapi...hata kama ni daktari bingwa haiwezekani awaumize ndugu zetu wakati serikali ilishatangaza matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5,wazee kuanzia miaka 60 na akina mama wajawazito afu mtu aje Awalaipishe hela,tena bila mganga mkuu wa hospital kushirikishwa,katibu mkuu wa wizara including waziri na boby ya hospital halafu mseme jamaa kakurupuka,hapana aisee,pia hajamfukuza kazi ili kamkataa ndani ya mkoa wake kutokana na utendaji wake mbovu,hata kama Hapi ana mapungufu mengine lakini sio kwenye hili aisee,tu`reason vitu bila chuki wakuu![/QUOTtE]
Sera pia inataka watu waanzie katika zahanati na vituo vya afya ili kuzuia mrundikano wa wagonjwa katika hospitali za mkoa na wilaya na hivyo kuboresha huduma za afya
 
Utaratibu wa hospitali za rufaa ni kutibu wagonjwa wenye rufaa. Ikitokea amekuja mgonjwa hana rufaa unafanyaje???
Swadakta.Hata ukienda Muhimbili bila rufaa unatibiwa kama mgonjwa wa Cash.Sijui madaktari walishindwa vp kujieleza vzuri?
 
Habari JF,

Kwa anayejua Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ndugu Ally Hapi kamfanya nini Daktari Bingwa atusaidie.

View attachment 912523
Huwa nawachukia sana wateule wa rais kwa unyanyasaji wao wa wananchi lkn niseme ukweli kwa hili,nimempenda sana RC Happy na namuunga mkono.

Kuhusu njia aliyotumia kufanya maamuz hayo mm namuunga mkono maana watu dizain hyo haihitajiki uzungumze nao kwa busara. Hao madaktar bingwa wanatunyanyasa kweny hosp za umma ili twende kwny hosp zao binafs. Wanaiba dawa na vifaa vinavyoletwa na serikali wanapeleka kwny hosp zao sie tukienda tunaambiwa sijui dawa hakuna mara vifaa hakuna af wanatuelekeza kwny hosp zao.

Hongera Happy
 
Nenda youtube tu mkuu, kuna videos zinajieleza
 
Kwa lililotokea kwenye hiyo video,mimi nipo upande mmoja na Hapi...hata kama ni daktari bingwa haiwezekani awaumize ndugu zetu wakati serikali ilishatangaza matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5,wazee kuanzia miaka 60 na akina mama wajawazito afu mtu aje Awalaipishe hela,tena bila mganga mkuu wa hospital kushirikishwa,katibu mkuu wa wizara including waziri na boby ya hospital halafu mseme jamaa kakurupuka,hapana aisee,pia hajamfukuza kazi ili kamkataa ndani ya mkoa wake kutokana na utendaji wake mbovu,hata kama Hapi ana mapungufu mengine lakini sio kwenye hili aisee,tu`reason vitu bila chuki wakuu!

Jambo usilolijua. Ni hospital ya rufaa ya mkoa. Mtu ana ugonjwa unaotibika zahanati ya mkimbizi, ila anakuja hospital ya mkoa. Msongamano, watumishi kuelemewa, kupungua ubora wa huduma n.k.
Underfives, wajawazito na wazee yes inatajwa watibiwe bila kulipia ila kwa kufuata utaratibu.

Hospital zote ukija bila barua ya rufaa unalipa bila kujali uko katika kundi lipi.
Hilo ndio mh. RC hakujua au alijua akaamua kutafuta kick.
 
Kwa lililotokea kwenye hiyo video,mimi nipo upande mmoja na Hapi...hata kama ni daktari bingwa haiwezekani awaumize ndugu zetu wakati serikali ilishatangaza matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5,wazee kuanzia miaka 60 na akina mama wajawazito afu mtu aje Awalaipishe hela,tena bila mganga mkuu wa hospital kushirikishwa,katibu mkuu wa wizara including waziri na boby ya hospital halafu mseme jamaa kakurupuka,hapana aisee,pia hajamfukuza kazi ili kamkataa ndani ya mkoa wake kutokana na utendaji wake mbovu,hata kama Hapi ana mapungufu mengine lakini sio kwenye hili aisee,tu`reason vitu bila chuki wakuu!
Kosa la Hapi ni kumuaibisha daktari hadharani. Kimaadili angeitisha mkutano na viongozi wa afya mkoa. Pale angewaahidi tu wanchi kulishughulikia swala hilo.
 
Back
Top Bottom