Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,192
- 1,315
Mstaarabu akivuliwa nguo huchutama, yaan mtu kutafuta kiki aje kunidhalilisha mbele ya kadamnasi mbona sijaona hosptal hata moja ya rufaa ambayo wanatibu bure mbona alivyokuwa dar hakuwahi kwenda MNH kuwakoromea madaktari au anaangalia sehem na sehem au MNH pale angeweza kupigwa hata viboko yaan mtu amesona 10 yrs we unakuja kumropokea kisa umeteuliwa ulikua pale jengo la vijana unakitetea chama