RC wa Iringa kafanya madudu gani?

RC wa Iringa kafanya madudu gani?

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
7,601
Reaction score
6,723
Habari JF,

Kwa anayejua Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ndugu Ally Hapi kamfanya nini Daktari Bingwa atusaidie.

IMG_7736.jpg
 
Hata mm sijui,ngoja niweke kishoka hapa kusubiri hiyo habari...
 
Ngoja nikae hapa nisubiri hiyo taarifa iliyofichika... naamini Msigwa hata chelewa kutoa maelezo ya kina
 
Kwa lililotokea kwenye hiyo video,mimi nipo upande mmoja na Hapi...hata kama ni daktari bingwa haiwezekani awaumize ndugu zetu wakati serikali ilishatangaza matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5,wazee kuanzia miaka 60 na akina mama wajawazito afu mtu aje Awalaipishe hela,tena bila mganga mkuu wa hospital kushirikishwa,katibu mkuu wa wizara including waziri na boby ya hospital halafu mseme jamaa kakurupuka,hapana aisee,pia hajamfukuza kazi ili kamkataa ndani ya mkoa wake kutokana na utendaji wake mbovu,hata kama Hapi ana mapungufu mengine lakini sio kwenye hili aisee,tu`reason vitu bila chuki wakuu!
 
Haya mambo mengine yanahitaji ufafanuzi wa kina na sio kukurupuka kama alivofanya mheshimiwa
 
Watoto wachanga na wazee wenye hela wasiotaka usumbufu hata Muhimbili wanalipia huo utaratibu ni wa kawaida sana. Ingekuwa analipishwa mtoto aliyepewa rufaa kutoka Flerimo kwenda regional hospital hapo ndio ningekubaliana na Hapi. Nilichokiona hapo ni siasa za kuviziana na hii inaweza kumjenga Msigwa badala ya kumbomoa. Nimpongeze Waziri Jaffo katika hili!
 
Kiki yake IMEBUMA!
Katikisa wasiotingishika, akarushwa yeye.
Siku zote, ogopa sana kutingisha watu wanaofanya kazi chini ya mwavuli uitwao UNIONS. Unaweza kupambana na mtu mmoja kumbe nyuma yake kuna maelfu. Utashangaa kujikuta unashambuliwa na maelfu wakati wewe ulitegemea unadeal na mtu mmoja.
Akamuulize JK anawajua sana madaktari jinsi walivyomhenyesha na migomo. Au awatafute Tuico na chama cha waalimu.
Sasa hivi kina Fatma Karume na chama chao cha wanasheria wanamtia stress Magu.
Union is a single most powerful entity.
 
Haya mambo mengine yanahitaji ufafanuzi wa kina na sio kukurupuka kama alivofanya mheshimiwa
Kosa la huyu kijana ni kulichukulia kibinafsi chuki" kuwa nilikuwa nakutafuta umeingia kwenye 18", sasa wewe ulikuwa unashaka naye na ulimwita kwanini usiweke mambo sawa huko kwamba hapa umekosea ukija kwenye mkutano kama huu unasema mlichokubaliana ili kumlindia heshima kama Dr bingwa maana pamoja na mapungufu utakuta huyu kaokoa watu wengi tu. Hata ukiwa na cheo basi usimtukane mtu mkubwa sio tamaduni zetu.
 
Watoto wachanga na wazee wenye hela wasiotaka usumbufu hata Muhimbili wanalipia huo utaratibu ni wa kawaida sana. Ingekuwa analipishwa mtoto aliyepewa rufaa kutoka Flerimo kwenda regional hospital hapo ndio ningekubaliana na Hapi. Nilichokiona hapo ni siasa za kuviziana na hii inaweza kumjenga Msigwa badala ya kumbomoa. Nimpongeze Waziri Jaffo katika hili!
Waziri Jaffo ni kijana ana busara sana nampa heshima kubwa tu.
 
Watoto wachanga na wazee wenye hela wasiotaka usumbufu hata Muhimbili wanalipia huo utaratibu ni wa kawaida sana. Ingekuwa analipishwa mtoto aliyepewa rufaa kutoka Flerimo kwenda regional hospital hapo ndio ningekubaliana na Hapi. Nilichokiona hapo ni siasa za kuviziana na hii inaweza kumjenga Msigwa badala ya kumbomoa. Nimpongeze Waziri Jaffo katika hili!
Aisee, hata wewe?
 
Narudia tena, wanyalu hawajawahi kuniangusha.. Aendelee kuruka ruka tu, watamtia adabu..
 
HUDUMA ZETU ZA AFYA ZINA CHANGAMOTO SANA ESPECIALLY ZA SERIKALI MUHESHIMIWA NAONA ALIPANIKI KIDGO KWENYE HILI...

ILA HUWA NAJIULIZA HAWAPEWAGI SEMINA KABLA YA KUSHIKA HATAMU? AU UKINIPA NDO BHAX TENA VIONGOZI VIJANA WANAHITAJI KUJIFUNZA SANA ISJIE KUA KM YULE AFISA ALIYEMKAMATA BIBI WA KIZUNGU KULE ZIWANI AKIUZA TAA ZA SOLAR AFU BAADAE AKAWA HAELEWEKI MPKA AKAJIDHALILISHA.... VIONGOZI VIJANA WANAHITAJI KUJIFUNZA
 
Daktari analipisha wagonjwa kwani yeye ni mwasibu??nchi hii kwa drama??
 
Back
Top Bottom