RC VS DC

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
HABARI NILIZOZIPATA HIVI PUNDE PENGINE LEO JION AMA KESHO ASBH DK ATAENDELEA NA UTUMBUZI WAKE NA SAFARI HII AKITUMBUA MAJIPU YA RC NA DC WOTE WALIOKUWA WASANII BAADA YA KUAPISHWA DK HIVI SASA WANAHAHA KUCHAGULIWA

WAKATIHUO HUO NEEMA KUBWA INAKUJA KWENYE MASHIRIKA YA UMMA STY TUNED
 
Nina mashaka makubwa sana na wale walioteuliwa na Mkwere sikutatu nne kabla hajastaafu kama watapona. Maana ule aliofanya ulikuwa ni uhuni kwa mwenzie.
 
Mkuu JPM kamaliza kukagua CV zao, maana aliagiza wamtumie CV zao mezani na kuahidi atazikagua mwenyewe moja baada ya nyingine.
 
Nina mashaka makubwa sana na wale walioteuliwa na Mkwere sikutatu nne kabla hajastaafu kama watapona. Maana ule aliofanya ulikuwa ni uhuni kwa mwenzie.

Hao ndiyo CCM miaka mingine 50 inawangoja nyie kalieni gogo la mkwere
 
Nasikia mikoa na wilaya mpya zilizoanzishwa enzi za mkwere kisanii sanii jamaa anazifuta

Keshaanza na mikoa ya SIMIYU, NJOMBE na KATAVI na wilaya mpya zote zilizo ndani ya mikoa hiyo mipya.

Nadhani hii ni njema maana iliongeza matumizi na gharama za kuendesha serikali tu pasipo sababu zozote za msingi

NOTE;
Mkoa mpya wa SIMIYU ulimegwa kutoka mkoa wa SHINYANGA

Mkoa mpya wa KATAVI ulimegwa kutoka mkoa wa RUKWA na;

Mkoa mpya wa NJOMBE ulimegwa kutoka mkoa wa zamani wa IRINGA
 
Hakuna kitu kama hicho....mikoa na wilaya mpya zote zitaendelea kuwepo
 
Back
Top Bottom