SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Lile broiler!!!!Kwani Keegan hawezi kuugua corona?
Tunaweza kumuaga duniani kabisa akabaki hana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile broiler!!!!Kwani Keegan hawezi kuugua corona?
Tunaweza kumuaga duniani kabisa akabaki hana tena.
Makonda ndiyo RaisMungu anajua kwanini kampa uongozi huyo dogo ila siye watanzania hatuelewi kabisa kwakua ni mipango ya Mungu basi tunaomba atakalo lifanyike maana hatumuelewi
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.
Juzi Rais Katoa agizo kuwa wenye mamlaka ya kutoa update kuhusu huu Ugonjwa ni Waziri wa afya, Waziri Mkuu Makamu wa Rais na Raisi Mwenyewe leo Mkuu wa Mkoa anatoa data zake tena.
Je, Agizo la Rais limepuzwa, vipi kila Mkuu wa Mkoa akaibuka na takwimu zake kwenye Mkoa wake.?
NB. Juzi Polepole alisema Corona Tanzania sawa na upinzani yaani haitakiwi Kama wasivyotakiwa wapinzani , Leo Makonda analeta siasa kwenye huu ugonjwa hatari wa dunia.
Kifupi serikali yetu hajajipanga kwa lolote kukabiliana na huu Ugonjwa hatari zaidi ya blahablaha za kwenye vyombo vya habari.
________
Wakati huo huo Leo Mh Paulo Makonda amezungumza na wafanyakazi katika kituo cha mabasi yaendeyo mikoani Ubungo na kusema kuwa.
Nchi nyingi zimeweka utaratibu wa kupambana na korona na sisi kama mkoa au nchi lazima tuweke utaratibi wa kupambana na korona, maana amesema kuwa ugonjwa huu sio wa wazee, watoto wala vijana bali ni wa rika zote.
Amezitaja taratibu hizo zinazochukuliwa ni kama:-
- Wageni wanaokuja nchini kupimwa kabla ya kuingia uraiani.
- Magari yote ya abiria yawe na vitakasa mikono( Sanitizer) na abiria watumie kila wapandapo na washukapo kwenye magari. Pia magari yote yapulizwe sawa.
-Elimu kuhusu korona itolewe kwa madereva, makondakta, wakatisha tiketi na wafanyakazi wengine wote wa stendi wakiwemo abiria pia.
-Watapata video fupi (video clip) kutoka wizara ya afya zinazotoa ujumbe kuhusu corona ambazo watazitimia kuziweka kwenye magari wakati wa safari ili kutoa elimu kwa abiria.
- Mtu anapokohoa atumie kiwiko kuzuia kinywa ili vijidudu visisambae lakini pia akatoa maelekezo ya kwa nini wasitumie viganja vya mikono, akasema ni rahisi MTU kupeleka kiganja machozi na puani hivyo kuvipeleka vijidudu kama vipi kwenye viganja maana virusi wa korona kuingia mwilini kwa wepesi kupitia pua na macho kwa sababu ya majimaji.
- Kutopanda magari yaliyojaa, ukiona gari limejaa usipande kaka subiri lingine maana ukipanda unajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi.
- Ukimuona mtu mwenye dalili ambazo huzielewi, to a taarifa kituo cha afya au kwenye serikali ya mtaa.
- Ukipata maambukizi usijifiche ndani kwa kudhani korona ni mgonjwa wa aibu Bali fika kituo cha afya mapema. Maana ukijificha utaangamiza familia nzima.
-Pia kutaka na zoezi la kupulizia dawa mkoa wa Dar es salaam ili kuua virusi vya korona na kama kuna mazalia ya mbu basi nayo hayatakiwi kuonekana. Amesisitiza kuwa hela, vifaa na wataalamu wa kufanya zoezi hili wapo na hivyo mtu akiona hivyo asiogope Bali ni jitihada za Mh. Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuli kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wanakulinda wewe mwananchi dhidi ya vimelea vya magonjwa.
Aliendelea kusema kuwa mgonjwa huu IPO na haina kinga hata mataifa makubwa yametetereka. Marekani na kujimwambafai lakini hawajapata sawa. Mgonjwa huu si swala LA pesa wala wataalamu bali ni nafasi ya Mungu kuoneaha ukuu wake, hivyo tuendelee kumuomba Mungu.
Akarudia kauli yake alioitoa akiwa Marine Azam ya kuwa tuachane na wanaoamini ushitikina kama kama Mh. Zitto.
Pia akasema Mh. Mbowe aliahirisha mikutatano ya CHADEMA iliyokuwa imepangwa kuanza mapema April I kwa kua mtoto wake amepata Korona, miongoni mwaka wagonjwa 12 waliotangazwa na waziri wa afya mmoja ni mtoto wa Mbowe.
View attachment 1397729
Omba Mungu akupe akili kama binadamu wengine ili utoke ktk maisha ya kufikiri kama kuku!Kama sababu alizozitoa Mbowe zinahusu korona basi Makonda yuko sahihi!
kamanda hoja ya Makonda ina mashiko ijadiliwe. Alishupaza shingo kutaka mikutano na maandamano ghafla siku moja baada ya mwanae kuugua akabadili gia angani.Jadili hoja, jikite kwenye mada.Majaliwa akimgusa Makonda atatimuliwa kama Mbwa koko siku hiyo hiyo , mguse mtafuta waganga na mpanga mauaji uone moto !
WELL, Katikati ya Mwezi huu wa March wakati Rais Magufuli anatangaza kufuta Mbio za Mwenge za mwaka huu ili kuepusha Mikusanyiko Hatarishi katika hatua za awali ktk Mapambano dhidi ya Janga la "Corona" ndio wakati huo huo ambao Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alitangaza Kuandaa Mikusanyiko Haramu iliyo kinyume cha sheria iliyonuiwa kuanza Tarehe 4.4.2020.
Na sio kwamba Mbowe hakuwa na knowledge wala kujua kuwa kuna Janga la "CORONA"...yeye alichojua ni kwamba Wale Wajinga ambao angewakusanya hiyo tarehe 4 April ndio wangekuwa kwenye Mazingira hatarishi ya kupata Maambukizi ya Corona na sio Familia yake ambayo ingekuwa imebaki nyumbani kwake Mikocheni ikitafuna Meat Chops za Belgium na Mtindi toka Poland!...Ya Mungu Mengi!
Tulijaribu kuhoji hapa je Freeman Mbowe hajui chochote kuhusu Corona?..na inawezekana vipi Kiongozi Mkuu wa Chama cha siasa kinachojipambanua kama chama bora kinachothamini Demokrasia, Utu na Ubinadamu anaandaa na kulazimisha Mikusanyiko haramu katika Dunia inayozuia Mikusanyiko?.
Juzi jioni Mbowe anatangaza Rasmi kusitisha Mikusanyiko ya Tarehe 4.4.2020 Sababu kuu akiitaja CORONA...Mbowe alitangaza hayo huku nyuma ya pazia ikiwa ni siku ya 3 tu tangu Mtoto wake Dudley aanze kuugua Corona hiyo hiyo....kwamba inaonekana bila kijana wake huyu kuugua na kumpa somo kwamba "Corona is Real" basi asingesitisha Mikusanyiko hiyo na angekusanya Vijana wa Watanzania wengine hiyo tarehe 4 Waende wakachakae kwa Marungu na kuambukizana Corona...Mbowe angejali nini iwapo Mwanae Dudley, Mkewe au Bintiye hawaumwi na hawapo kwenye Mikusanyiko ya tarehe 4?.
Mikusanyiko na Maandamano Haramu ya Mbowe iliyo kinyume cha sheria ndio iliondoka na Uhai wa "Akwilina"...je alihitajika Dudley au Mwanafamilia wa Mbowe apate janga that moment ili Mbowe ahairishe Maandamano yale ili Akwilina apone?...ni nani aliwahi kumuona Dudley ktk maandamano yoyote Nchini?
Well, katika Watanzania Wachache ambao mpaka sasa Wamethibitika na kutangazwa kuwa wana Virusi vya Corona, kati yao Mtoto wa Mbowe naye yumo!..Si jambo jema, katika Nyakati hizi Mbowe anamtazamaje kijana wake wa Bavicha "Ole Sopopi" aliyedai Bora Corona iingie Nchini kuliko Kuendelea kutawaliwa na CCM?...Sopopi alidhani Corona ikiingia Nchini itakuja na kadi ya Chadema ikiwa imepanua Vidole?..."by the way Mungu atuponye na kutuepusha, Corona haina Rangi wala iitikadi, GOD have Mercy upon Us...Povu ruksa.
View attachment 1398717
Athari ya mimba ya uzeeni hii inakusumbua.WELL, Katikati ya Mwezi huu wa March wakati Rais Magufuli anatangaza kufuta Mbio za Mwenge za mwaka huu ili kuepusha Mikusanyiko Hatarishi katika hatua za awali ktk Mapambano dhidi ya Janga la "Corona" ndio wakati huo huo ambao Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alitangaza Kuandaa Mikusanyiko Haramu iliyo kinyume cha sheria iliyonuiwa kuanza Tarehe 4.4.2020.
Na sio kwamba Mbowe hakuwa na knowledge wala kujua kuwa kuna Janga la "CORONA"...yeye alichojua ni kwamba Wale Wajinga ambao angewakusanya hiyo tarehe 4 April ndio wangekuwa kwenye Mazingira hatarishi ya kupata Maambukizi ya Corona na sio Familia yake ambayo ingekuwa imebaki nyumbani kwake Mikocheni ikitafuna Meat Chops za Belgium na Mtindi toka Poland!...Ya Mungu Mengi!
Tulijaribu kuhoji hapa je Freeman Mbowe hajui chochote kuhusu Corona?..na inawezekana vipi Kiongozi Mkuu wa Chama cha siasa kinachojipambanua kama chama bora kinachothamini Demokrasia, Utu na Ubinadamu anaandaa na kulazimisha Mikusanyiko haramu katika Dunia inayozuia Mikusanyiko?.
Juzi jioni Mbowe anatangaza Rasmi kusitisha Mikusanyiko ya Tarehe 4.4.2020 Sababu kuu akiitaja CORONA...Mbowe alitangaza hayo huku nyuma ya pazia ikiwa ni siku ya 3 tu tangu Mtoto wake Dudley aanze kuugua Corona hiyo hiyo....kwamba inaonekana bila kijana wake huyu kuugua na kumpa somo kwamba "Corona is Real" basi asingesitisha Mikusanyiko hiyo na angekusanya Vijana wa Watanzania wengine hiyo tarehe 4 Waende wakachakae kwa Marungu na kuambukizana Corona...Mbowe angejali nini iwapo Mwanae Dudley, Mkewe au Bintiye hawaumwi na hawapo kwenye Mikusanyiko ya tarehe 4?.
Mikusanyiko na Maandamano Haramu ya Mbowe iliyo kinyume cha sheria ndio iliondoka na Uhai wa "Akwilina"...je alihitajika Dudley au Mwanafamilia wa Mbowe apate janga that moment ili Mbowe ahairishe Maandamano yale ili Akwilina apone?...ni nani aliwahi kumuona Dudley ktk maandamano yoyote Nchini?
Well, katika Watanzania Wachache ambao mpaka sasa Wamethibitika na kutangazwa kuwa wana Virusi vya Corona, kati yao Mtoto wa Mbowe naye yumo!..Si jambo jema, katika Nyakati hizi Mbowe anamtazamaje kijana wake wa Bavicha "Ole Sopopi" aliyedai Bora Corona iingie Nchini kuliko Kuendelea kutawaliwa na CCM?...Sopopi alidhani Corona ikiingia Nchini itakuja na kadi ya Chadema ikiwa imepanua Vidole?..."by the way Mungu atuponye na kutuepusha, Corona haina Rangi wala iitikadi, GOD have Mercy upon Us...Povu ruksa.
View attachment 1398717
Kwa hiyo yeye anaweka msisitizo au umma haumuamini baba wa mgonjwa?Makonda hajatangaza idadi ya wagonjwa amemtaja mtoto wa Mbowe kwa sababu baba yake ametoa taarifa hadharani! kuwa mwanae ameambukizwa!