RC Paul Makonda: Mbowe ameahirisha mikutano ya CHADEMA baada ya mwanaye kuambukizwa Corona

WELL, Katikati ya Mwezi huu wa March wakati Rais Magufuli anatangaza kufuta Mbio za Mwenge za mwaka huu ili kuepusha Mikusanyiko Hatarishi katika hatua za awali ktk Mapambano dhidi ya Janga la "Corona" ndio wakati huo huo ambao Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alitangaza Kuandaa Mikusanyiko Haramu iliyo kinyume cha sheria iliyonuiwa kuanza Tarehe 4.4.2020.

Na sio kwamba Mbowe hakuwa na knowledge wala kujua kuwa kuna Janga la "CORONA"...yeye alichojua ni kwamba Wale Wajinga ambao angewakusanya hiyo tarehe 4 April ndio wangekuwa kwenye Mazingira hatarishi ya kupata Maambukizi ya Corona na sio Familia yake ambayo ingekuwa imebaki nyumbani kwake Mikocheni ikitafuna Meat Chops za Belgium na Mtindi toka Poland!...Ya Mungu Mengi!

Tulijaribu kuhoji hapa je Freeman Mbowe hajui chochote kuhusu Corona?..na inawezekana vipi Kiongozi Mkuu wa Chama cha siasa kinachojipambanua kama chama bora kinachothamini Demokrasia, Utu na Ubinadamu anaandaa na kulazimisha Mikusanyiko haramu katika Dunia inayozuia Mikusanyiko?.

Juzi jioni Mbowe anatangaza Rasmi kusitisha Mikusanyiko ya Tarehe 4.4.2020 Sababu kuu akiitaja CORONA...Mbowe alitangaza hayo huku nyuma ya pazia ikiwa ni siku ya 3 tu tangu Mtoto wake Dudley aanze kuugua Corona hiyo hiyo....kwamba inaonekana bila kijana wake huyu kuugua na kumpa somo kwamba "Corona is Real" basi asingesitisha Mikusanyiko hiyo na angekusanya Vijana wa Watanzania wengine hiyo tarehe 4 Waende wakachakae kwa Marungu na kuambukizana Corona...Mbowe angejali nini iwapo Mwanae Dudley, Mkewe au Bintiye hawaumwi na hawapo kwenye Mikusanyiko ya tarehe 4?.

Mikusanyiko na Maandamano Haramu ya Mbowe iliyo kinyume cha sheria ndio iliondoka na Uhai wa "Akwilina"...je alihitajika Dudley au Mwanafamilia wa Mbowe apate janga that moment ili Mbowe ahairishe Maandamano yale ili Akwilina apone?...ni nani aliwahi kumuona Dudley ktk maandamano yoyote Nchini?

Well, katika Watanzania Wachache ambao mpaka sasa Wamethibitika na kutangazwa kuwa wana Virusi vya Corona, kati yao Mtoto wa Mbowe naye yumo!..Si jambo jema, katika Nyakati hizi Mbowe anamtazamaje kijana wake wa Bavicha "Ole Sopopi" aliyedai Bora Corona iingie Nchini kuliko Kuendelea kutawaliwa na CCM?...Sopopi alidhani Corona ikiingia Nchini itakuja na kadi ya Chadema ikiwa imepanua Vidole?..."by the way Mungu atuponye na kutuepusha, Corona haina Rangi wala iitikadi, GOD have Mercy upon Us...Povu ruksa.
1585118923105.png
 
Hizi kazi nataman nam kuzipata hali tete ujue...
Sa hapa tayar buku 7 mtu kashaingiza
 
haya mambo si yalishaisha
tuache kutishana na CORONA
Rais ameshatangaza Wasemaji wakuu wa huu ugonjwa, sasa Makonda na wewe mbona mnakuwa vipaza sauti, mtakaposababisha kufungiwa majumbani ndipo utakapoijua CORONA
 
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.

Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.

Juzi Rais Katoa agizo kuwa wenye mamlaka ya kutoa update kuhusu huu Ugonjwa ni Waziri wa afya, Waziri Mkuu Makamu wa Rais na Raisi Mwenyewe leo Mkuu wa Mkoa anatoa data zake tena.

Je, Agizo la Rais limepuzwa, vipi kila Mkuu wa Mkoa akaibuka na takwimu zake kwenye Mkoa wake.?

NB. Juzi Polepole alisema Corona Tanzania sawa na upinzani yaani haitakiwi Kama wasivyotakiwa wapinzani , Leo Makonda analeta siasa kwenye huu ugonjwa hatari wa dunia.

Kifupi serikali yetu hajajipanga kwa lolote kukabiliana na huu Ugonjwa hatari zaidi ya blahablaha za kwenye vyombo vya habari.

________

Wakati huo huo Leo Mh Paulo Makonda amezungumza na wafanyakazi katika kituo cha mabasi yaendeyo mikoani Ubungo na kusema kuwa.

Nchi nyingi zimeweka utaratibu wa kupambana na korona na sisi kama mkoa au nchi lazima tuweke utaratibi wa kupambana na korona, maana amesema kuwa ugonjwa huu sio wa wazee, watoto wala vijana bali ni wa rika zote.

Amezitaja taratibu hizo zinazochukuliwa ni kama:-

- Wageni wanaokuja nchini kupimwa kabla ya kuingia uraiani.

- Magari yote ya abiria yawe na vitakasa mikono( Sanitizer) na abiria watumie kila wapandapo na washukapo kwenye magari. Pia magari yote yapulizwe sawa.

-Elimu kuhusu korona itolewe kwa madereva, makondakta, wakatisha tiketi na wafanyakazi wengine wote wa stendi wakiwemo abiria pia.

-Watapata video fupi (video clip) kutoka wizara ya afya zinazotoa ujumbe kuhusu corona ambazo watazitimia kuziweka kwenye magari wakati wa safari ili kutoa elimu kwa abiria.

- Mtu anapokohoa atumie kiwiko kuzuia kinywa ili vijidudu visisambae lakini pia akatoa maelekezo ya kwa nini wasitumie viganja vya mikono, akasema ni rahisi MTU kupeleka kiganja machozi na puani hivyo kuvipeleka vijidudu kama vipi kwenye viganja maana virusi wa korona kuingia mwilini kwa wepesi kupitia pua na macho kwa sababu ya majimaji.

- Kutopanda magari yaliyojaa, ukiona gari limejaa usipande kaka subiri lingine maana ukipanda unajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi.

- Ukimuona mtu mwenye dalili ambazo huzielewi, to a taarifa kituo cha afya au kwenye serikali ya mtaa.

- Ukipata maambukizi usijifiche ndani kwa kudhani korona ni mgonjwa wa aibu Bali fika kituo cha afya mapema. Maana ukijificha utaangamiza familia nzima.

-Pia kutaka na zoezi la kupulizia dawa mkoa wa Dar es salaam ili kuua virusi vya korona na kama kuna mazalia ya mbu basi nayo hayatakiwi kuonekana. Amesisitiza kuwa hela, vifaa na wataalamu wa kufanya zoezi hili wapo na hivyo mtu akiona hivyo asiogope Bali ni jitihada za Mh. Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuli kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wanakulinda wewe mwananchi dhidi ya vimelea vya magonjwa.

Aliendelea kusema kuwa mgonjwa huu IPO na haina kinga hata mataifa makubwa yametetereka. Marekani na kujimwambafai lakini hawajapata sawa. Mgonjwa huu si swala LA pesa wala wataalamu bali ni nafasi ya Mungu kuoneaha ukuu wake, hivyo tuendelee kumuomba Mungu.

Akarudia kauli yake alioitoa akiwa Marine Azam ya kuwa tuachane na wanaoamini ushitikina kama kama Mh. Zitto.

Pia akasema Mh. Mbowe aliahirisha mikutatano ya CHADEMA iliyokuwa imepangwa kuanza mapema April I kwa kua mtoto wake amepata Korona, miongoni mwaka wagonjwa 12 waliotangazwa na waziri wa afya mmoja ni mtoto wa Mbowe.

View attachment 1397729

Lakini pia hapa ukiangalia kwa jicho la pili, mimi naona kama Mbowe alikuwa positive kwa maana kuwa alimaanisha Corona will not get beyond tarehe 4, na ndiyo maana akatangaza tarehe 4 kuwa ataanza kufanya mikutano. Kwa wale wanaoamini mambo katika uUlimwengu wa roho, ni kwamba Mbowe ameshaweka limit tayari kuwa Corona haitaenda zaidi ya tarehe 4. Mimi naomba katika hili watu wasimshambulie sana, huwezi kujua pengine Mungu amemtumia kuweka limit ya muda wa Corona ndani ya Nchi yetu. Maana sasa Corona mpaka anataka kusababisha taharuki ndani ya nchi yetu, na Rais katika hotuba yake aliusia kuwa watu wasii-amplify Corona kiasi cha kusababisha taharuki kwa wa-Tanzania.

Mimi kwa kweli katika hili niko upande wa Mbowe, ameweka limit ya tarehe 4 kwa Corona. Hata kama haitakuwa tarehe hiyo lakini his statement was firm trying to ignore as well as defeat, the prevailance of CoVID-19 disese. Tumtaje Mungu zaidi pamoja na mbinu zetu na vifaa vyetu vya kinga, kuliko kuitaja Corona, maana yake ni kwamba akili zetu na mawazo yetu yanatakiwa ya-focus zaidi kwenye maelekezo ya wataalamu wetu wa Afya pamoja na Mungu zaidi, kuliko kwenye ugonjwa wenyewe!

Nampa pole nyingi binti yetu aliyesahambuliwa na ugonjwa huu, lakini pia nimefurahi kusikia kuwa afya yake inaendelea vizuri. Wa-tanzania tayari tumeshashambuliwa, lakini mimi bado nasisitiza kuwa watu tuchukue tahadhari zote na kwa makini sana huku tukiwasikiliza viongozi wetu na wataalamu wetu wa afya, na HAKUNA MTANZANIA ATAKAYEPOTEZA MAISHA KWA CORONA,NAAMURU KATIKA JINA LA YESU!
 
Majaliwa akimgusa Makonda atatimuliwa kama Mbwa koko siku hiyo hiyo , mguse mtafuta waganga na mpanga mauaji uone moto !
kamanda hoja ya Makonda ina mashiko ijadiliwe. Alishupaza shingo kutaka mikutano na maandamano ghafla siku moja baada ya mwanae kuugua akabadili gia angani.Jadili hoja, jikite kwenye mada.
 
WELL, Katikati ya Mwezi huu wa March wakati Rais Magufuli anatangaza kufuta Mbio za Mwenge za mwaka huu ili kuepusha Mikusanyiko Hatarishi katika hatua za awali ktk Mapambano dhidi ya Janga la "Corona" ndio wakati huo huo ambao Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alitangaza Kuandaa Mikusanyiko Haramu iliyo kinyume cha sheria iliyonuiwa kuanza Tarehe 4.4.2020.

Na sio kwamba Mbowe hakuwa na knowledge wala kujua kuwa kuna Janga la "CORONA"...yeye alichojua ni kwamba Wale Wajinga ambao angewakusanya hiyo tarehe 4 April ndio wangekuwa kwenye Mazingira hatarishi ya kupata Maambukizi ya Corona na sio Familia yake ambayo ingekuwa imebaki nyumbani kwake Mikocheni ikitafuna Meat Chops za Belgium na Mtindi toka Poland!...Ya Mungu Mengi!

Tulijaribu kuhoji hapa je Freeman Mbowe hajui chochote kuhusu Corona?..na inawezekana vipi Kiongozi Mkuu wa Chama cha siasa kinachojipambanua kama chama bora kinachothamini Demokrasia, Utu na Ubinadamu anaandaa na kulazimisha Mikusanyiko haramu katika Dunia inayozuia Mikusanyiko?.

Juzi jioni Mbowe anatangaza Rasmi kusitisha Mikusanyiko ya Tarehe 4.4.2020 Sababu kuu akiitaja CORONA...Mbowe alitangaza hayo huku nyuma ya pazia ikiwa ni siku ya 3 tu tangu Mtoto wake Dudley aanze kuugua Corona hiyo hiyo....kwamba inaonekana bila kijana wake huyu kuugua na kumpa somo kwamba "Corona is Real" basi asingesitisha Mikusanyiko hiyo na angekusanya Vijana wa Watanzania wengine hiyo tarehe 4 Waende wakachakae kwa Marungu na kuambukizana Corona...Mbowe angejali nini iwapo Mwanae Dudley, Mkewe au Bintiye hawaumwi na hawapo kwenye Mikusanyiko ya tarehe 4?.

Mikusanyiko na Maandamano Haramu ya Mbowe iliyo kinyume cha sheria ndio iliondoka na Uhai wa "Akwilina"...je alihitajika Dudley au Mwanafamilia wa Mbowe apate janga that moment ili Mbowe ahairishe Maandamano yale ili Akwilina apone?...ni nani aliwahi kumuona Dudley ktk maandamano yoyote Nchini?

Well, katika Watanzania Wachache ambao mpaka sasa Wamethibitika na kutangazwa kuwa wana Virusi vya Corona, kati yao Mtoto wa Mbowe naye yumo!..Si jambo jema, katika Nyakati hizi Mbowe anamtazamaje kijana wake wa Bavicha "Ole Sopopi" aliyedai Bora Corona iingie Nchini kuliko Kuendelea kutawaliwa na CCM?...Sopopi alidhani Corona ikiingia Nchini itakuja na kadi ya Chadema ikiwa imepanua Vidole?..."by the way Mungu atuponye na kutuepusha, Corona haina Rangi wala iitikadi, GOD have Mercy upon Us...Povu ruksa.
View attachment 1398717

Siasa za Kijinga kabisa ....kuingiza hadi watoto....huwezi kuzitetea kwa kiwango chochote kile , ni ushahidi tu cha kiwango cha UPUMBAVU
 
Vipi huo mkusanyiko ulikuwa halali?

Mambosasa anasemaje kuhusu huo mkusanyiko..?
 
Athari ya mimba ya uzeeni hii inakusumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa malyangili ana akili za kipumbafu pumbafu , ni madawa madawa ya kishirikina hujivunia, kishetani,ni mwabubu shetani bashite,ni free Manson akili yake iko chini ndo maana alifoji kutumia vyeti vya mtu mwingine. Yeye anajua na Mungu anajua ila anajitia anakwenda church
 
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.

Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.

Juzi Rais Katoa agizo kuwa wenye mamlaka ya kutoa update kuhusu huu Ugonjwa ni Waziri wa afya, Waziri Mkuu Makamu wa Rais na Raisi Mwenyewe leo Mkuu wa Mkoa anatoa data zake tena.

Je, Agizo la Rais limepuzwa, vipi kila Mkuu wa Mkoa akaibuka na takwimu zake kwenye Mkoa wake.?

NB. Juzi Polepole alisema Corona Tanzania sawa na upinzani yaani haitakiwi Kama wasivyotakiwa wapinzani , Leo Makonda analeta siasa kwenye huu ugonjwa hatari wa dunia.

Kifupi serikali yetu hajajipanga kwa lolote kukabiliana na huu Ugonjwa hatari zaidi ya blahablaha za kwenye vyombo vya habari.

________

Wakati huo huo Leo Mh Paulo Makonda amezungumza na wafanyakazi katika kituo cha mabasi yaendeyo mikoani Ubungo na kusema kuwa.

Nchi nyingi zimeweka utaratibu wa kupambana na korona na sisi kama mkoa au nchi lazima tuweke utaratibi wa kupambana na korona, maana amesema kuwa ugonjwa huu sio wa wazee, watoto wala vijana bali ni wa rika zote.

Amezitaja taratibu hizo zinazochukuliwa ni kama:-

- Wageni wanaokuja nchini kupimwa kabla ya kuingia uraiani.

- Magari yote ya abiria yawe na vitakasa mikono( Sanitizer) na abiria watumie kila wapandapo na washukapo kwenye magari. Pia magari yote yapulizwe sawa.

-Elimu kuhusu korona itolewe kwa madereva, makondakta, wakatisha tiketi na wafanyakazi wengine wote wa stendi wakiwemo abiria pia.

-Watapata video fupi (video clip) kutoka wizara ya afya zinazotoa ujumbe kuhusu corona ambazo watazitimia kuziweka kwenye magari wakati wa safari ili kutoa elimu kwa abiria.

- Mtu anapokohoa atumie kiwiko kuzuia kinywa ili vijidudu visisambae lakini pia akatoa maelekezo ya kwa nini wasitumie viganja vya mikono, akasema ni rahisi MTU kupeleka kiganja machozi na puani hivyo kuvipeleka vijidudu kama vipi kwenye viganja maana virusi wa korona kuingia mwilini kwa wepesi kupitia pua na macho kwa sababu ya majimaji.

- Kutopanda magari yaliyojaa, ukiona gari limejaa usipande kaka subiri lingine maana ukipanda unajiweka kwenye hatari ya kupata maambukizi.

- Ukimuona mtu mwenye dalili ambazo huzielewi, to a taarifa kituo cha afya au kwenye serikali ya mtaa.

- Ukipata maambukizi usijifiche ndani kwa kudhani korona ni mgonjwa wa aibu Bali fika kituo cha afya mapema. Maana ukijificha utaangamiza familia nzima.

-Pia kutaka na zoezi la kupulizia dawa mkoa wa Dar es salaam ili kuua virusi vya korona na kama kuna mazalia ya mbu basi nayo hayatakiwi kuonekana. Amesisitiza kuwa hela, vifaa na wataalamu wa kufanya zoezi hili wapo na hivyo mtu akiona hivyo asiogope Bali ni jitihada za Mh. Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuli kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wanakulinda wewe mwananchi dhidi ya vimelea vya magonjwa.

Aliendelea kusema kuwa mgonjwa huu IPO na haina kinga hata mataifa makubwa yametetereka. Marekani na kujimwambafai lakini hawajapata sawa. Mgonjwa huu si swala LA pesa wala wataalamu bali ni nafasi ya Mungu kuoneaha ukuu wake, hivyo tuendelee kumuomba Mungu.

Akarudia kauli yake alioitoa akiwa Marine Azam ya kuwa tuachane na wanaoamini ushitikina kama kama Mh. Zitto.

Pia akasema Mh. Mbowe aliahirisha mikutatano ya CHADEMA iliyokuwa imepangwa kuanza mapema April I kwa kua mtoto wake amepata Korona, miongoni mwaka wagonjwa 12 waliotangazwa na waziri wa afya mmoja ni mtoto wa Mbowe.

View attachment 1397729

Mungu ibariki JF
 
Back
Top Bottom