Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,762
- 7,553
Kimsingi bunge, kama lina ujasiri wa kibunge wa kuisinamia serikali kweli kweli, litatoa mapendekezo kwa mamlaka ya uteuzi. Nina wasi wasi kama kweli lina ujasiri stahiki! Ninachokiona mimi ni woga tu.Hivi Bunge uwa linawajibisha au linatoa mapendekezo kwa Mamlaka ya uteuzi wake?