RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

Hivi Bunge uwa linawajibisha au linatoa mapendekezo kwa Mamlaka ya uteuzi wake?
Kimsingi bunge, kama lina ujasiri wa kibunge wa kuisinamia serikali kweli kweli, litatoa mapendekezo kwa mamlaka ya uteuzi. Nina wasi wasi kama kweli lina ujasiri stahiki! Ninachokiona mimi ni woga tu.
 
Kama bunge lilvyoamuru Makonda ahojiwe kutokana na kauli zake alizotoa, tayari Makonda a.k.a Bashite amehojiwa na ripoti itawasilishwa kwa spika ili isomwe bungeni!
Sasa je kutokana na hili suala lake, bunge linaweza kumpa adhabu gani? Na je watu wengine wanaotoa maneno kama aliyotoa makonda wanaweza kuadhibiwa kwa namna ambavyo makonda anaweza kuadhibiwa.?
Hakuna cha mana zote ni geresha ti.
 
Hayo yanatakiwa kusemwa na sisi tulio nje na sio kiongozi senior wa serikali. Lazima uelewe kuwa kila mtu anayo nafasi ya kusemea jambo fulani kwa mahali fulani kutokana na nafasi fulani aliyo nayo.
Chemsha ubongo wao kijana!
Kwa nini kiongozi wa serikali hapaswi kumkosoa Rais au waziri hadharani bali kwa kutumia njia zinazokubalika kwa kanuni za utumishi?
Umeboronga mwanzoni Ila mwishoni umemalizia vizuri...
 
Sheria zipo nahisi kila kitu kitaelezwa na vifungu vitasomwa so anaweza kutwa hana hatia na akaachiwa aendelee na kazi.
 
Kama bunge lilvyoamuru Makonda ahojiwe kutokana na kauli zake alizotoa, tayari Makonda a.k.a Bashite amehojiwa na ripoti itawasilishwa kwa spika ili isomwe bungeni!
Sasa je kutokana na hili suala lake, bunge linaweza kumpa adhabu gani? Na je watu wengine wanaotoa maneno kama aliyotoa makonda wanaweza kuadhibiwa kwa namna ambavyo makonda anaweza kuadhibiwa.?
Bunge ni mhimili mwingine na serikali pia mwingine. Hapo sanasana watamwambia aombe radhi na aonywe vikali asirudie kosa tena. Sidhani kama kutakua na la ziada halafu msamaha atakua ameshaomba
 
Adhabu atakayopewani karipio kali! Basi!!!!!
Bunge linaweza kutoa adhabu kwa mbunge mwenzao tu, kwa wengine wanatoa mapendekezo kwa mamlaka zinazohusika kutoa adhabu kwa kufuata sheria na kosa lililotendwa. Na mamlaka husika hazifungwi na mapendekezo au ushauri wa bunge, na hasa ukizingatia kwamba muhimili utakaoshauriwa kuchukua hatua dhidi ya Bashite ni ule ulijichimbia chini zaidi..!!!
 
Nilitaraji kuwa atapelekwa mahakamani kumbe ndo uko asante kwa taharifa
Hiyo ni kesi moja tu ya kulipuuza Bunge Tukufu, bado anakesi zingine kwa Jamhuri ya Muungano (kesi ya kughushi vyeti), watu na makampuni mbalimbali bado tu kuzipeleka mahakamani.
 
Je, vita dhidi ya Unga kwa Mkoa wa Dar Imekuwa na mafanikio kwa asilimia ngapi??? je, approach iliyotumika inaufanisi wa kutokomeza biashara hiyo hapa nchini kama itakuwa adapted kwa mikoa mingine pia?
1)kama itakuwa 80% above success (Big up makonda)
2)Ikiwa ni below 20% success (You need to change the approach Mkuu, Bilashaka wako watu wenye mawazo mazuri zaidi unaweza kushauriana nao)
(Nawaza kwa maandishi tu)
 
Back
Top Bottom