RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

There you are!! Kumbe kelele zenu zote na vitimbi chungu nzima vinatokana na wivu wa kitoto - eti kwanini kwa nini Makonda anapewa madaraka? Kwani hana cheti cha Chuo Kikuu, au unataka kusema Shahada aliyo nayo si ya kwake.
suala sio kupewa madaraka, suala ni kutokuqualify uache unafiki, ushamsikia magu anatilia mkazo suala la uhakiki wa vyeti kama mwanzo? kwa nini?
 
Kabla ya operation ya kuwabaini wafanya biashara ya madawa ya kulevya mbona hakuna aliyekuwa anazungumzia vyeti vya Makonda?? hakuna!! Sijui kwa nini baadhi ya Watanzania ni ma flip floppers, hawana kanuni kama pepo za monsoon, wajanja wanatumia mbinu ya kuwasaulisha janga/vita dhidi ya madawa ya kulevya na nyinyi mnajiunga kwenye band wagon ya ku-derail mapambano dhidi ya madawa ya kulevya na hicho ndicho ma Kingpin wa madawa ya kulevya wanacho taka, na inaonekana wamefanikiwa kuwapofusha baadhi yenu - sisemi mambo ya kubuni hapa - kupata picha kamili angalia majibu jibu ya baadhi yenu hayana busara mnaonekana wala hamjali mateso ya waaga wa madawa ya kulevya, kama huu si u sadism uliyo pitiliza mipaka, tuiteje?? - badala ya kushikamana na Viongozi/Dola kutokomeza adui mkubwa wa nguvu kazi ya Taifa letu - mmekalia na ngojera zenu "Vyeti vya Makonda vyeti vya Makonda"- mnatumiwa tu na ma Drug Barons hata akili ya kulitambua hilo hamna kabisa!!

Kama mnafikiri Makonda ni thick upstairs alihitimu vipi Chuo Kikuu, je na huko aliweka robot imfanyie mitihani tangu mwaka wa kwanza mpaka wa mwisho? Discuss masuala ya kutuletea maendeleo.
kwanza kabisa mheshimiwa alidisko kama hujui hilo, pia kuhitimu chuo kikuu kwa mfumo wa bongo ni rahisi sana kuna watu tumesoma nao chuo na hawajawahi kuingia hata darasani na wana ma gpa ya ukweli tu kila kitu wanafanyiwa.
pili kuhusu madawa ya kulevya ukweli ni kwamba siasa ilitawala zaidi kuliko uhalisia zaidi wa tukio lenyewe so hio ilikua ni kutafuta kiki za kisiasa tu vita ya madawa ya kulevya haipiganwi kwa kuwataja watuhumiwa hadharani halafu eti unawapa siku mbili mbele ndo waripoti polisi ili wakafanyiwe search. so kwa mantiki hiyo ndio maana na yeye akaanza kuwashiwa moto baada ya kuwawashia moto wenzake.
kwani mpaka sasa papa gani ameshakamatwa? mapapa wote ambao wanahisiwa wanauza sembe walienda pilisi na hawajakaa ndani hata masaa mawili wakatoka
 
Ameenda kuhojiwa na hao vilaza wenzie mimi nilijua ameenda mahakamani
 
Hiyo kamati inapoteza muda wake tu.....Makonda hawezekani na ninamsupport kwa vita yake ya madawa ya kulevya no matter how ameiendesha but amethubutu
Ila bado ana kosa la kugushi vyeti!Unless we say kugushi vyeti sasa ruksa.Mimi nasema kama Daudi hataadhibiwa kwa kosa la kugushi vyeti,adhabu walizopewa watumishi wengine wote ni null and void na warudishwe kazini.Hivi serikali itaeleweka kweli na wananchi wake. The answer is no.Serikali haina budi kuwa na msimamo unaoeleweka.
 
Back
Top Bottom