We boya siumesema kila kitu kinaratibiwa na serikali saa hizi umesahau? Unakichwa kama cha kuku kusahau kila baada ya sekunde 3kwa nini unaita uhalifu kuwa ni biashara?
mauaji na uchangudoa ni uhalifu..elewa hilo kwanza kabla ya kuwa Nyumbu.
Tuliza mzuka gari iwe ilikuwa na bima au LA fidia iko pale pale hakubadilishi chochote kama ilikuwa haina bima shule italipa maana ndiye mumiliki wa hayo malaria kama ilikuwa Na bima basi bima watalipa hizo billions za fidiaMnayengeneza scenario nyingi hata za kupika.Hivi hapa bongo kwa utawala huu nani anauwezo wa kutembeza gari bila bima??
Na kama baikuwa na Bima Kamati ya Usalama ilfanya nini kupitia trafick.Hivi mmiliki akikuonyesha bima yake utatafuta sababu gani?Acheni siasa za kipumbavu hamnabhoja mute
Usipate shida mwambie mwenye Shule aende na huo utetezi wako mahakamani.Mnayengeneza scenario nyingi hata za kupika.Hivi hapa bongo kwa utawala huu nani anauwezo wa kutembeza gari bila bima??
Na kama baikuwa na Bima Kamati ya Usalama ilfanya nini kupitia trafick.Hivi mmiliki akikuonyesha bima yake utatafuta sababu gani?Acheni siasa za kipumbavu hamnabhoja mute
Malkia wa nguvu Gambosh kwenye uboya wake!!Halafu mnataka tuwape madaraka vijana kwa a kili hizo kama za gambo aisee ulevi wa madaraka mbaya sana
Je sheria inasemaje. Mkusanyiko wa watu wangapi unahitaji kibali?Nawaza msinipopoe mawe....! Hivi kiuhalisia rambirambi wanapewa wanafamilia ama shule walipokuwa wanasoma wanafunzi! Sasa kama ni wanafamilia kwa nini hao watoa rambirambi hawaendi nyumbani kwa wafiwa wanaamua kwenda shuleni? Ukizingati mkuu wa shule yuko matatani kutokana na tukio hilo. Hamuoni kuwa hao kwenda pale kunaweza kuathiri mwenendo wa kesi dhidi ya wahusika wa shule ? Gambo anaweza kuwa sahihi sema ameshindwa kujenga hoja.
Hivi wakifa watu wangapi ndio serikali iuafanye msiba ni wake?Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa mkoa! Tatizo la watanzania ni wavivu wa kufikiri siasa hata pasipohitajika na hiyo shule kama ana uwezo aifutie usajiri wake wajinga sana.
Issue hasa hapa ninayoina na hilo la kuathiri mwenendo wa kesi!Je sheria inasemaje. Mkusanyiko wa watu wangapi unahitaji kibali?
Ngese wewe mvivu wa kufilikiri mama yako sio sisiAmeongea vizuri sana kama kiongozi wa mkoa! Tatizo la watanzania ni wavivu wa kufikiri siasa hata pasipohitajika na hiyo shule kama ana uwezo aifutie usajiri wake wajinga sana.
Du walah, kuna siku mtu atakuja kuulizwa nukuu ya kifungu cha Katiba, kuelekeza mtu kutumia mkono wa kulia kula chakula.Tunaomba kipengele cha kutoka rambirambi kipo ktk kifungu kipi cha sheria za tz au ktk katiba? Naona sasa tutashindwa hata kufarijiana ktk misiba au misiba mmeamua kugeuza mradi wa kitaifa?
Kanye ukalale, unaumwa maviBahati yenu yule msela wa kibti hajataja dau lake na mawasiliano.
Ataombewa na wanafiki lakini mwenye imani ya dhati ataombea taifa lipate kiongozi bora wakati ujao maana kwa sasa tumeangukia puaHalafu dereva anataka aombewe,Mungu hadhihakiwi
Serikali inaratibu kila kitu