RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

unatoa rambi rambi huku ukiwa na waandishi?

jingalao;
Kweli nimeamini weye ni jingalao full. Kama si waandishi wa habari tungesikiaje habari za huo msiba?? Kama sio waandishi wa habari tungefahamuje kuwa rambirambi zimelambwa?? Waliochukua waandishi wa habari, ni kuonesha ukweli kuwa rambirambi zilizochangwa zimewafikia wahusika na kiasi kilicho tolewa kwao. Weka mambo hadharani.
Mnasema ati tusitumie maafa kama chanzo cha kupigia siasa. Sawa kabisa, usiutumie msiba pia kama kigoda cha kushibisha matumbo yako.
 
Eti ndo watu wanasema vijana wapewe madaraka!! Upumbavu mtupu. Ina maana watu kutoa rambi rambi imekuwa siasa? Serikali inapewa michango yenyewe inawapiga panga waathirika kwa nini tuendelee kupitishia michango yetu huko? Ujinga wa kiwango cha PhD huu!!
PhD ya maganda ya korosho tena.
 
wonders shall never end in tz......
ukiwa na msiba unahitaji kuomba kibali cha kusanyiko la waombolezaji
 
lema ana hasira ya kunyimwa mic ndio maana ameanzisha propaganda ya rambirambi ambayo haina mashiko na haitadumu

Pole sana.Maana Gambo ameprove kuwa amekula pesa za wafiwa.Hana amani,kwa sasa kila MTU ni adui yake hata Kivuko chake anakiogopa.

Hakuna siasa kwenye Kijani misiba.Kijani msiba ni mila na desturi za waafrika wote.Hakuna mwenye dhambi kwenye Kijani.

Anachoogopa Gambo ni aibu ya kula rambirambi. Mnatengenexa scenarios nyingi mupnekane mnacha maana mnachoongea kumbe upupu mtupu.

Hivi kesho Gambo akifukuzwa ukuu wa mkoa ndiyo mtakuwa wa kwanza kumsakama.Acheni unafiki.Mwmabieni ukweli mwenzetu umekosea.Mwelezebu atende mema siyo kila MTU ni wa dini yake ambayo Chuki na visasi ni sawa Hata kama Ilani ya CCM ni kuendeleza Chuki haitatusaidia.Hatuishi milele.
 
jingalao;
Kweli nimeamini weye ni jingalao full. Kama si waandishi wa habari tungesikiaje habari za huo msiba?? Kama sio waandishi wa habari tungefahamuje kuwa rambirambi zimelambwa?? Waliochukua waandishi wa habari, ni kuonesha ukweli kuwa rambirambi zilizochangwa zimewafikia wahusika na kiasi kilicho tolewa kwao. Weka mambo hadharani.
Mnasema ati tusitumie maafa kama chanzo cha kupigia siasa. Sawa kabisa, usiutumie msiba pia kama kigoda cha kushibisha matumbo yako.
Usiwe Nyumbu mkuu.
Misiba mingapi haihudhuriwi na waandishi wa habari?na inafanyika vizuri kabisa.
rambirambi imeliwa kiasi gani na nani?au unashabikia upuuzi wa Leema kisa kanyimwa mic?
taarifa za rambirambi hujapewa na RC?kilichoibwa ni kipi?au kwa kuwa mwanasiasa leema kasema?
kama mlizoea kuiba rambirambi ni nyinyi sio serikali.mnatumia maafa kisiasa kwa sababu wakati wa kuandaa mazishi hamkuepo bali kwenye rambirambi ndio mmekuwa wasemaji.
 
Chadema hawajui hayo,wao wanataka kiki tu

Mnayengeneza scenario nyingi hata za kupika.Hivi hapa bongo kwa utawala huu nani anauwezo wa kutembeza gari bila bima??

Na kama baikuwa na Bima Kamati ya Usalama ilfanya nini kupitia trafick.Hivi mmiliki akikuonyesha bima yake utatafuta sababu gani?Acheni siasa za kipumbavu hamnabhoja mute
 
Tunaomba kipengele cha kutoka rambirambi kipo ktk kifungu kipi cha sheria za tz au ktk katiba? Naona sasa tutashindwa hata kufarijiana ktk misiba au misiba mmeamua kugeuza mradi wa kitaifa?
Nataka niwaambie hapo kuna kitu kinatafutwa kwakuwa watanzania akili zetu ni za kipumbavu Na kama hatutabadilika na kuzifanya ngozi zetu kuwa ngumu kama za mamba tunakwenda kuona mambo mengi sana kama ni ishara tayari zimeshaanza kuonekana tengenezeni akili.
 
Pole sana.Maana Gambo ameprove kuwa amekula pesa za wafiwa.Hana amani,kwa sasa kila MTU ni adui yake hata Kivuko chake anakiogopa.

Hakuna siasa kwenye Kijani misiba.Kijani msiba ni mila na desturi za waafrika wote.Hakuna mwenye dhambi kwenye Kijani.

Anachoogopa Gambo ni aibu ya kula rambirambi. Mnatengenexa scenarios nyingi mupnekane mnacha maana mnachoongea kumbe upupu mtupu.

Hivi kesho Gambo akifukuzwa ukuu wa mkoa ndiyo mtakuwa wa kwanza kumsakama.Acheni unafiki.Mwmabieni ukweli mwenzetu umekosea.Mwelezebu atende mema siyo kila MTU ni wa dini yake ambayo Chuki na visasi ni sawa Hata kama Ilani ya CCM ni kuendeleza Chuki haitatusaidia.Hatuishi milele.
baada ya lema kuumbuliwa na Gambo kuhusu ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto naona ameumozwa sana...alitaka kulaghai watu kuwa amejenga hospitali kumbe ni kazi ya wahisani...leo hii alitaka kuonekana bora kupitia msiba na Gambo kambania mic..lazima achukie.

lengo la kujidai wanatoa rambirambi jana na kujikweza kisiasa na Gambo kawabania tena.

Zama hizi hamuwezi kutoka kwa kiki za kijinga...lazima mbaniwe na mtaendelea kulialia tu.
 
Aache umbumbu wake hapa sisi watanzania tulizoea kufarijiana katika shida na raha aache kutupangia otherwise atapotea Mungu hadhihakiwi.
 
Eti ndo watu wanasema vijana wapewe madaraka!! Upumbavu mtupu. Ina maana watu kutoa rambi rambi imekuwa siasa? Serikali inapewa michango yenyewe inawapiga panga waathirika kwa nini tuendelee kupitishia michango yetu huko? Ujinga wa kiwango cha PhD huu!!
Rambi rambi na waandishi!!!!?
 
Jiandae baada ya huu uongoz na huo umri wako kuwa na maadui wengi saana,koz sasa akili umekalia unaendesha ushindani wa kisiasa ilihali wewe ni mkuu wa mkoa,yule ni mayor,kapigiwa kura,who are you?...ulipigiwa kura?...kupeleka rambi rambi kama mayor wao,waliomchagua kihalali..ni kosa kisheria?...endeleeni tu but,mtavuna mnachopanda!
 
he was never a presidential material,look how stupid these people act and talk...idiots
 
Usiwe Nyumbu mkuu.
Misiba mingapi haihudhuriwi na waandishi wa habari?na inafanyika vizuri kabisa.
rambirambi imeliwa kiasi gani na nani?au unashabikia upuuzi wa Leema kisa kanyimwa mic?
taarifa za rambirambi hujapewa na RC?kilichoibwa ni kipi?au kwa kuwa mwanasiasa leema kasema?
kama mlizoea kuiba rambirambi ni nyinyi sio serikali.mnatumia maafa kisiasa kwa sababu wakati wa kuandaa mazishi hamkuepo bali kwenye rambirambi ndio mmekuwa wasemaji.

jingalao;
Usiogope kusema ukweli. Ahadi ya mwana CCM ni kwamba; Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko. Mimi ni mwana CCM dam dam hata ukitaka kadi yangu nipo tiyari kuionesha hapa hadharani. Swali ni kwamba;
Maneno ya RC aliyatoa wapi?? Alisema, msiba huu ni wa taifa, hivyo serekali hii tukufu itagharamia. Ndo maana ukapelekwa pale uanjani.
Kikao kilikaa wapi kuwa wazitumie hela za rambirambi kupambia jukwaa na kuwa entertain wakubwa waliofika kama jukumu lao??
Jingalao; unaposema ati Lema analalamika kwa sababu alinyimwa mic, hapo sio kisiasa?? Sitaki kukukosoa chama changu lakini, ninaumia mnapoiingiza serekali kwenye uchafu usio ihusu serekali.
RC alizionea wapi hizo hela mpaka akapatana na wapambaji?? Ningelikuwa nina uwezo, ningelipiga marufuku serekali kuhusishwa na changizo za rambirambi. Tunao uwezo wa kuwaonesha wananchi ukuu wetu zaidi ya kutumia njia hii. Waacheni wapinzani wafanye watakalo, lakini sisi tuwaoneshe mambo ya maana zaidi. fufua viwanda vilivyouzwa kama njugu, watu waajiriwe, rambirambi issue itajifilia yenyewe.
 
Back
Top Bottom