Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
Nina uhakika Gambo mwaka 1972 alikuwa hajazaliwa wala mimba yake haikuwa imetegemewa. Lakini kama kijana anayejua kusoma na kuandika basi anapaswa kusoma historia na kujua nini kilimpata Dr Kleruu na kwa nini. Alikuwa na cheo kama chake na tabia zinazofanana naye. Asipoangalia historia huwa inajirudiaHahahahahaha anayelikia Mic ni Gambo,baada ya kuona hajakaribishwa hasira anamalizia kuweka watu Mahabusu kisa ana madaraka.
Nenda ka mwambie Madaraka yanaua,Madaraka yana mwisho.Ukiwa na madaraka siyo Mungu.Chuki na visasi havijengi.
Cha msingi mweleze kabisa wale Mapadre aliowaweka mahabusu atajutia sana.
Kama Laana ameishaipata baada ya kula rambirambi za watu.Jamani hata pesa za wafiwa mnataka kuiweka kwenye Uchaguzi??
Sijawahi on.Utawala wa awamu hii ndiyo Majangili nadhani kuliko tawala zote zilizopita.
Tanzania ya Vi-wonder, hakika labda vitajengwa na rambirambi.