ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,966
- 28,825
I knew that case si yule jamaa aliburutwa mpaka mgongo ukaishahuyo meya mambo za usnich hajaanza leo, toka wakati anasoma Moshi Tech akiwa day...na hiyo ni laana atakufa nayo!.
aliwahi kumsaliti jamaa yake mmoja wa karibu wakiwa wote UVCCM...jamaa huyo aliuawa kibabe kwa kugongwa gari na kuburutwa mita kadhaa mbele ya macho ya huyo meya hadi akafariki, baadae ndg wa marehemu wakawa kwenye harakati kumfungulia kesi muuaji wakiamini Juma Raibu atakuwa upande wao kutoa ushahidi muhimu.
Meya akapokea pesa kutoka kwa muuaji akamsaliti marehemu ambaye alikuwa best yake sana tu!.