RC Mghwira: Nashtakiwa sana kwa Rais Magufuli

huyo meya mambo za usnich hajaanza leo, toka wakati anasoma Moshi Tech akiwa day...na hiyo ni laana atakufa nayo!.

aliwahi kumsaliti jamaa yake mmoja wa karibu wakiwa wote UVCCM...jamaa huyo aliuawa kibabe kwa kugongwa gari na kuburutwa mita kadhaa mbele ya macho ya huyo meya hadi akafariki, baadae ndg wa marehemu wakawa kwenye harakati kumfungulia kesi muuaji wakiamini Juma Raibu atakuwa upande wao kutoa ushahidi muhimu.

Meya akapokea pesa kutoka kwa muuaji akamsaliti marehemu ambaye alikuwa best yake sana tu!.
I knew that case si yule jamaa aliburutwa mpaka mgongo ukaisha
 
Hii habari imekaa kiaina...Mkuu wa Mkoa Yukon poa sana
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
 
Wewe mleta uzi ndio mstahiki meya, nimekustukia!! Usituletee ujinga wenu hapa!! kama una ugomvi na RC wako malizaneni uko uko na sio kutuletea umbea hapa jukwaani.
Ha ha ha!
Iko wazi!
Anatafuta Huruma!
Dr Mgwira siyo saizi yake.Yule Mama akiongea neno litakuwa limepimwa....

Mzee wa Boma mbuzi anafikiri Mama katokea Msaranga....!
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
Nchi ya majungu maendeleo mwendo wa kobe
 
Hii story imekaa kimbea sana !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
huyo meya mambo za usnich hajaanza leo, toka wakati anasoma Moshi Tech akiwa day...na hiyo ni laana atakufa nayo!.

aliwahi kumsaliti jamaa yake mmoja wa karibu wakiwa wote UVCCM...jamaa huyo aliuawa kibabe kwa kugongwa gari na kuburutwa mita kadhaa mbele ya macho ya huyo meya hadi akafariki, baadae ndg wa marehemu wakawa kwenye harakati kumfungulia kesi muuaji wakiamini Juma Raibu atakuwa upande wao kutoa ushahidi muhimu.

Meya akapokea pesa kutoka kwa muuaji akamsaliti marehemu ambaye alikuwa best yake sana tu!.

Enzi za Kisuu?
 
Ukweli kuhusu kuwepo kwa ugonjwa huu wa COVD19, umesha dhihirika, hata viongozi wa maeneo wanashindwa kuviringisha kauli za kujaribu kuuficha! Sasa hapa kuna baadhi ya wateule wanataka kutumia huu ugonjwa kujipatia kiki za kisiasa!
Haukuna unafiki mbaya kama kujipendekeza kwa boss kwa mtindo wa kuchongea wengine!
Kama ni kweli RC Mughwila alimpa makavu Meya kutokana na vitendo vyake hivyo kwahakika alimtendea haki!
 
Kwa kauli za huyu mama kuhusu corona juzi kwenye mazishi ya katibu mkuu wa kkkt dk, nilitegemea figisu kama hizi. Kama huyo mama alimtuhumu meya bila kificho na kama wafanyabiashara wanaona kuwa huyo mama kakosea, kwanini wanaficha majina yao?
Hao wafanyabiashara watakuwa ni wale wanufaika wa Tenda mbalimbali tokea halimashauri ya jiji la moshi
 
Amna anayempinga mkuu wa mkoa

Uyo meya ndio mchaga na HATUMTAKII njoo pasua uulize
Nisikilize kijana, matajiri wa Kilimanjaro wanapenda sana anayekalia kiti awe mchaga mwenzio kwa ajili ya manufaa yao binafsi...naongea ninachokijua
 
Muacheni mama apige kazi, mama yuko smart sana, naamini hata Mh. JPM anamkubali na ndo maana akampa na mkoa kabisa.
 
Back
Top Bottom