RC Mghwira: Nashtakiwa sana kwa Rais Magufuli

Mkuu ninawakubali sana watu wa Klm but ni wakabila sana, huyu mama angekuwa mchagga wala wasingempinga au kumshitaki
Huenda hiyo ikawa ndiyo sababu Kuu, but sio nzuri kwa afya ya Nchi kuhubiri ukabila karne hii ya 21
 
Hata Mimi nilijua hii draft mama kaicheza vibaya,ana msimamo tofauti juu ya Kowidiiii mhhhh Wenzake wanauma na kupuliza yeye ana....
Kwa kauli za huyu mama kuhusu corona juzi kwenye mazishi ya katibu mkuu wa kkkt dk, nilitegemea figisu kama hizi. Kama huyo mama alimtuhumu meya bila kificho na kama wafanyabiashara wanaona kuwa huyo mama kakosea, kwanini wanaficha majina yao?
J
 
Mwenye mamlaka ana vyombo vingi vya kumpatia taarifa za aliowateua wakiwemo Wakuu wa Mikoa.

Aache kulalamika na kutengeneza mazimgira kuwa anaonewa.

Afanye kazi ila kama hafai atatumbuliwa tu hakuna namna
 
Sasa huyo Meya anadhani akiondolewa huyo Anna Mnghwira ndiyo atapewa hiyo nafasi ya Mkuu wa Mkoa??

Watu mlioko kwenye utumishi wa Umma wakati mwingine mjifunze kuishi na watu hata kama humpendi, huyo ni Boss wako tayari, badala ya kuchapa kazi mnaendekeza majungu.
Probably from opposition
 
Wewe mleta uzi ndio mstahiki meya, nimekustukia!! Usituletee ujinga wenu hapa!! kama una ugomvi na RC wako malizaneni uko uko na sio kutuletea umbea hapa jukwaani.
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080

Ww meya huu uzi ni upuuzi wako, hizi ni zile Id za mwaka jana hapa jukwaani kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu. Ni hivi acha utoto, japo huyo Mama naye alienda ccm kupigania tumbo.
 
Wewe mleta uzi ndio mstahiki meya, nimekustukia!! Usituletee ujinga wenu hapa!! kama una ugomvi na RC wako malizaneni uko uko na sio kutuletea umbea hapa jukwaani.
Juma Raibu akiwa anagombea udiwani mwaka jana alijaza mataji ya kunawia mikono kila kona moshi mjini kwa kijikinga na corona. Alivyoiba kura akawa diwani na kupata umeya akaanza kuzuia madiwani wasivae barakoa anasema moshi hakuna corona. Anajaribu kucheza na akili za watu .
 
huyo RAIBU ni mtovu wa nidhamu,mchonganishi wa siku nyingi sana amuheshimu mkuu wa mkoa kwani ndiye rais wa mkoa akumbuke sikio halizidi kichwa afanye kazi kwa mipaka yake kisheria
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
Oho haya huyo mama byebye
 
Ulieleta habari hii ni mnafiki, ni tawi la meya, mama yuko vizuri na anaga unafiki ndio maana amemchana live, kwani meya wenu huko nae mwanamke?
 
Tupeni background ya meya tuone usafi wake kwanza, ninavyojua mimi moshi kama moshi ni mji wa wanachadema ila wamejigawa kitaalamu sana mpaka wakawa na ccm ambayo ni tiifu ndani ya chadema.....

Namshauri mama Mgwira amwangalie meya kama mtoto wa simba naajue kuwa atakapomgusa tu basi atashambuliwa na mama yake
Mkuu wa mkoa amewekwa na raisi nwenyewe akitokea upinzani......
kwa kifupi huyu mama hana cha kupoteza zaidi ya kuchapa kazi yake kama vile alivyoaminiwa....
lkn mijikijani lazima itaanza ku subotage...
kuonyesha ya kwamba hafai
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
haya ndio majungu nisiyo yapenda kuyasikia,
watumishi wanaongoza kwa kupigana majungu ya kuharibiana kazi, kila mahali unapo gusa ni mwendo wa kusemana na kufitiniana ilimradi mwenzio aharibikiwe.
watu wa aina hii watakuw na laaana si bure.
sasa afadhali Mh. Rais na baadhi ya viongozi wanajiongeza na hawezi kuwaamini majungu , sasa wengine wanayabeba majungu na kumfukuza mtu kazi,
jamani viongozi kemeeeni tabia ya majungu kazini kwani inapunguza ufanisi makazini, pia tabia hii inawaumiza watu wasio na hatia.

Pole sana Mama RC, usikate tamaa endelea kuchapa kazi, Mungu atakulipa kwa jitihada zako kwa wananchi wako
 
Back
Top Bottom