RC Mghwira: Nashtakiwa sana kwa Rais Magufuli

Meya wa Taifa!😄😄😄
56853.jpg
 
Hizo kazi zisizokuwa na qualification ndio hayo madhara yake, watu wanaona kujipendekeza kulikopitiliza kwa bosi wao ndio kama sifa kwao ya utendaji kazi mzuri, mbaya zaidi unapokuta mwanaume ndio anakuwa na kiherehere zaidi ya mwanamke.

Hapa niko upande wa RC namfahamu yule mama na misimamo yake naielewa.
HUYU MEYA NDIYE ALIYEWAVUA WADIWANI WOTE BARAKOA KWA NGUVU
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
HUYO MEYA HATA UKIANGALIA MACHO NA MASIKIO YAKE UTAJUA TU NI MCHAWI. ATAKUWA ANAMCHUKIA RC KWA KUWA ANAHIMIZA UVAAJI BARAKOA. HOVYO KABISA!
 
Sasa huyo Meya anadhani akiondolewa huyo Anna Mnghwira ndiyo atapewa hiyo nafasi ya Mkuu wa Mkoa??

Watu mlioko kwenye utumishi wa Umma wakati mwingine mjifunze kuishi na watu hata kama humpendi, huyo ni Boss wako tayari, badala ya kuchapa kazi mnaendekeza majungu.
Mkuu ninawakubali sana watu wa Klm but ni wakabila sana, huyu mama angekuwa mchagga wala wasingempinga au kumshitaki
 
Huyu Meya ni balaa na niyeye katuma hi post hatare sana mtu huyu Wa Moshi angalieni sana huyu bw Rahabu ni jini

Tupeni background ya meya tuone usafi wake kwanza, ninavyojua mimi moshi kama moshi ni mji wa wanachadema ila wamejigawa kitaalamu sana mpaka wakawa na ccm ambayo ni tiifu ndani ya chadema.....

Namshauri mama Mgwira amwangalie meya kama mtoto wa simba naajue kuwa atakapomgusa tu basi atashambuliwa na mama yake
 
Nadhani mama amezidi upole ndio maana Sabaya na sasa huyo Meya wanapima nae ubavu.
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
Tunaomba CV ya Juma Raibu.anaitia aibu moshi manispaa.
 
Mkuu ninawakubali sana watu wa Klm but ni wakabila sana, huyu mama angekuwa mchagga wala wasingempinga au kumshitaki
Mkuu tuombe radhi, mama tunamkubali sana ni mtu mwenye utu na anafikika kirahisi na Msikivu.Huyu meya na yule DC wa Hai wanamfitini
 
Hakika bandiko hili lina mkono wa Juma- Meya wa Manispaa ya Mji wa Moshi.
Au nasema Uongo ndugu zangu.
 
Kwa kauli za huyu mama kuhusu corona juzi kwenye mazishi ya katibu mkuu wa kkkt dk, nilitegemea figisu kama hizi. Kama huyo mama alimtuhumu meya bila kificho na kama wafanyabiashara wanaona kuwa huyo mama kakosea, kwanini wanaficha majina yao?
Huyo Meya atakuwa na matatizo..hatujasahau yeye huyo kuwavua ' barakoa' madiwani na kuhatarisha maisha yao.
 
huyo meya mambo za usnich hajaanza leo, toka wakati anasoma Moshi Tech akiwa day...na hiyo ni laana atakufa nayo!.

aliwahi kumsaliti jamaa yake mmoja wa karibu wakiwa wote UVCCM...jamaa huyo aliuawa kibabe kwa kugongwa gari na kuburutwa mita kadhaa mbele ya macho ya huyo meya hadi akafariki, baadae ndg wa marehemu wakawa kwenye harakati kumfungulia kesi muuaji wakiamini Juma Raibu atakuwa upande wao kutoa ushahidi muhimu.

Meya akapokea pesa kutoka kwa muuaji akamsaliti marehemu ambaye alikuwa best yake sana tu!.
 
HUYU MEYA NDIYE ALIYEWAVUA WADIWANI WOTE BARAKOA KWA NGUVU
Hivi kweli kuna viongozi wamefikia hatua hiyo??????.....hapana, kuwavua watu barakoa ni kosa kubwa sana!!!

Ni kosa kwasababu afya ya mtu ni jambo binafsi. Hivyo basi, huyo Meya aache hiyo tabia mara moja.
 
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
WAFANYABIASHARA MOSHI WAMSHANGAA RC MGWIRA KUMLAUMU RAIS MAGUFULI

Wafanyabiashara wa manispaa ya Moshi waliokuwa na kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira wameonesha kushangazwa na Kitendo cha Mkuu huyo kumlaumu hadharani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Juma Raibu kuwa huwa anamshtaki kwa Rais Magufuli juu ya mambo mbalimbali.

Wafanyabiashara hao wametoa maoni yao kupitia Nungwi Fm kwa (sharti la kutotaka majina yao yaandikwe) baada ya kutoka kwenye Kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha Mkoa huo,akiongea kwaniaba ya wenzake Mfanyabiashara wa Kwanza alisema "Sisi tulikuja kuona namna gani kero yetu inatatuliwa kwa njia za amani lakini cha kustaajabisha ni kitendo cha RC kumshambulia Meya mbele yetu katika mambo yao ya siri akijua wazi sisi ni raia hatupaswi kusikia mambo yao,tunachoitaji kuona ni mshikamano ili Wafanyabiashara tupate ahueni kwenye maisha yetu" mwisho wa kunukuu

Pia Mfanyabishara mwingine alisema "Meya na RC wote ni watumishi wetu tunategemea wafanye kazi kwa muunganiko sio malumbano haya,Meya amefanya mazuri mengi nahata hili letu amelibeba sana, Kumgombeza na kumfukoe mbele yetu sio Sahihi ,wangesubiri tuondoke wafanye wao kwa wao,hili limetujengea picha mbay vichwani mwetu ,Tunaloomba ni watusikilize Jambo letu hili"

Source : Nungwi Online FmView attachment 1717079View attachment 1717080
Hii habari haina balance/weledi au mwandishi ameiandika pre maturely ,je ni wote walikuwa na mtazamo huo,kama sivyo wale wenye mtazamo tofauti wao wanasemaje,he Huyo RC hakuzungumza jambo lingine na au alimlaumu meya tu .
 
Back
Top Bottom