Tunamkumbuka Sana Kwa Hayati Rais Magufuli Kwa Kuwathibiti Hawa Wahuni

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Kipindi cha serikali ya awamu ya tano tuliona hawa wanasiasa wahuni wengi wao wakikimbia kuwa wakimbizi. Sera ya Hayati Rais Magufuli ya kuwadhibiti hawa wanasiasa na wanaharakati wahuni ilifanikisha kwa kiasi kikubwa kwa miradi mikubwa kuanza na kufanikiwa bila kelele wala matusi. Ni wakati muhimu kwa utawala wa awamu ya sita kufuata nyayo za Hayati Rais Magufuli katika kuwathibiti hawa wahuni wanaoshinda kwenye mikutano yao na mitandaoni kutoa matusi. Rais Samia afanye uteuzi wa uteuzi wa viongozi aina ya kina Makonda na Sabaya.
Long live Hayati Rais Magufuli
 
Hayati Magufuli hakuuza sehemu yoyote ya Tanganyika badala yake alianza kurejesha sehemu zilizouzwa.

Tunataka bandari zetu.

..Jpm alisalimu amri kwa barrick.

..aliwasamehe deni la usd 191 billion.
 
Kipindi cha serikali ya awamu ya tano tuliona hawa wanasiasa wahuni wengi wao wakikimbia kuwa wakimbizi. Sera ya Hayati Rais Magufuli ya kuwadhibiti hawa wanasiasa na wanaharakati wahuni ilifanikisha kwa kiasi kikubwa kwa miradi mikubwa kuanza na kufanikiwa bila kelele wala matusi. Ni wakati muhimu kwa utawala wa awamu ya sita kufuata nyayo za Hayati Rais Magufuli katika kuwathibiti hawa wahuni wanaoshinda kwenye mikutano yao na mitandaoni kutoa matusi. Rais Samia afanye uteuzi wa uteuzi wa viongozi aina ya kina Makonda na Sabaya.
Long live Hayati Rais Magufuli
Ni ujinga wa kiwango cha juu na kutojitambua kwa kushangilia na kusapoti kiongoz wa Nchi kuvunja katiba ya Nchi!!
 
Back
Top Bottom